GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
He looks adicted, (surfering from substance use disorder) Kule Cuba lazima walimchanyia madawa ya kulevya na chakula,
Naomba apewe msaada haraka.
 
Polepole naye kawa polepole sana mambo yake kama jina lake lilivyo! Si apasue tu na kuweka kila kitu hadharani ili tujue tunazika au tunasafirisha??
 
Huo muda tutakuwa tunaangalia mechi za Taifa Stars. Hayo mazungumzo fanya na wambea wa Chadema!
Ukiwa chawa. Kamwe huwezi kujua siasa za masuala ( issue) wewe ni level ya baba levo na mwijaku. Haya mambo makubwa sana kwako
 
Mzima switch ya bundle? Hii code imenitoa kwenye reli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…