Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Kufikia October Rais Magufuli atafikia 98%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku Rais akikoswa mamlaka ya kuteua na kutengua 98% ya watumishi nchi hii, siasa za nchi hii zitabadilika sanaSiku hizi kuna watu wanaona fahari sana kuwa watumwa wa watu wengine kazi yao kubwa ni kujipendekeza na kujitoa fahamu kisa hela na umaarufu
Na hata 2015 Maguful aliibeba CCM mwenyewe, inawezekana kabisa Kwa sababu hata Mimi binafsi namkubali Magufuli kuliko......Kwahiyo Magufuli binafsi anakubalika kuliko chama chake....
Sawa yanaanziaga huku kuelekea kwenye umilele wa mamlaka
Hahahaha jamaa akaambiwa sio Mtanzania, wanachukua passport yakeUtafiti uliofanywa na taasisi ya utafiti isiyo ya kiserikali Twaweza umebaini kuwa umaarufu wa Rais wa Tanzania, Dokta John Magufuli umeshuka kutoka asilimia 96 mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 55 mwaka huu.
Asilimia 55 ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani mwaka 2015. Kukubalika huku kumepungua kutoka 96% mwaka 2016, na 71% mwaka 2017.
Kiwango cha kukubalika kwa Rais kimeshuka kutoka kwenye rekodi ya juu kuwahi kuwekwa na Rais wa Tanzania mpaka rekodi ya chini tangu takwimu hizi zianze kukusanywa mwaka 2001...
Ccm bado wako ndotoni
Ccm inakubalika 70% au 30%
Utafiti huru ukifanywa sasa umaarufu huo utakuwa chini ya 10%.Utafiti uliofanywa na taasisi ya utafiti isiyo ya kiserikali Twaweza umebaini kuwa umaarufu wa Rais wa Tanzania, Dokta John Magufuli umeshuka kutoka asilimia 96 mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 55 mwaka huu.
Asilimia 55 ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani mwaka 2015. Kukubalika huku kumepungua kutoka 96% mwaka 2016, na 71% mwaka 2017....
Utafiti umefanyika hivi karibuni!Utafiti huru ukifanywa sasa umaarufu huo utakuwa chini ya 10%.
Hiyo source ya taarifa, channel 10 ni ya ccm
Ndani ya ofisi za Lumumba naona!Utafiti umefanyika hivi karibuni!
Baada ya uchaguzi ndio utaelewa mwana Sacco'sCCM bado wako ndotoni
CCM inakubalika 70% au 30%
CCM wanachangisha harambee wanavuka malengo! CHADEMA wakichangisha kutimiza malengo mpaka wasaidiwe na CCM!
Good!