paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Niwe nisiwe hainpunguzii Wala kuniongezea chochote, Na Neno Hilo haliwezi kuwaogopesha watu kuandika maoni Yao eti tu wataitwa Mataga! Huwezi kutetea hoja zako za kipuuzi kuwatishia watu eti utawaita Mataga wakichelenji hoja, wataendelea, kwa sababu hawawi hivyo kama akiri yako ilivyounda taswira hiyo!Wewe ni Mataga huna jipya
Jenga hoja mkuu