Bandika bandua hakuna kupoa, na gwajima aje kukazia maarifa....
ππππnahamu yakusubili kama vile naisubilia mbususu mpya iliyopimwa Ngoma na iliyochoma chanzo ya ini
ππππππ
KATAA WAHUNI, OKOA TANGANYIKA.βοΈπAmeahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
Hajachoka tu hamdanganyi mtu atungoje baada ya uchaguzi atapata kesi yake atanyooka tu muongo mkubwa kipindi yeye yupo kiongozi wachama asad aligundua trn 1.5 zimepigwa hakujiuzuru leo anatuona wajinga na maumbea yake aseme kwanza trn 1.5zilikwenda wapi?Ameahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
mkuu ,naiheshimu ini kupita maelezo ngwengwe Ina option na olewako uwe unapenda kunyonya haragi la mbeya Ile......... kama unajielewa kachome chanzo ya ini vipimo bei ndogo tu mwingine unakuta anabima kabisa lakini haelewi.ππ Dah inaonekana upo makini sana,nikikua nitakuiga
Nchi gani hukoo ?Wazee wanapekua hotel to hotel
surerππππ
Na wewe anzisha series yako mkuu. hii ya Polepole iache season one iise kwanza.mkuu ,naiheshimu ini kupita maelezo ngwengwe Ina option na olewako uwe unapenda kunyonya haragi la mbeya Ile......... kama unajielewa kachome chanzo ya ini vipimo bei ndogo tu mwingine unakuta anabima kabisa lakini haelewi.
Kwa nini akae kimya?Angekaa kimya tu. Hakuna mwenye akili anayemtilia maanani. Amekuwa shujaa wa manyumbu.
Katelefoni ndio anaongoza kuwa magorofa mapya kariakoo....3. Wakati shujaa wetu, JPM, anatutoka, hivi viumbe vilivamia BOT na kuchota humo vilivyoweza kuchota! ... dhahabu yetu, pesa zetu za madafu na za kigeni ndizo sasa zinaendesha hizi harakati za akina polepole! WOTE WEZI TU!