FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,336
- 13,660
Nyumbu mnachekesha sana 😂😂😂 kwahiyo tegemeo sasa ni Polepole na sio people’s power 🤣Ukisimama "nchale ukiinuka nchale"
Nyumbu mnachekesha sana 😂😂😂 kwahiyo tegemeo sasa ni Polepole na sio people’s power 🤣Ukisimama "nchale ukiinuka nchale"
Ukikaa "nchale"Nyumbu mnachekesha sana 😂😂😂 kwahiyo tegemeo sasa ni Polepole na sio people’s power 🤣
Mkija kushtuka uchaguzi umeisha na Polepole yupo kimya then baadae sana anarudishwa chamani na kupewa uenezi 😂😂😂Haya ndo mambo niyapendayo.
Atuletee Bomu la kufungulia mwezi.
😂😂😂😂😂😂😂😂Nimenunua daftari kubwa la counter kuandika notes
Kama akili za wananchi ndio hizi ndio maana Abdul anatembelea gari la 20B na hakuna chochote mnachoweza kufanya. Jitu zima linashabikia hekaya za mtu yupo Cuba na US lenyewe linasaga TZ 11 kariakoo kufanya uwinga huku halina uwezo wa kubadilisha chochote zaidi ya kutype mitandaoniUkikaa "nchale"
Vita ya maneno haiwezi kuwatikisa ccm
October unatick?!!Nimenunua daftari kubwa la counter kuandika notes
This is useless, anaongea kuzua mijadala tu mtandaoni, lakini hakuna mipango ya akili ya kuchukua hatua.Ameahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
KaamuaAmeahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
Naaam tulikaa kinyonge sana tajiriAmeahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.