Itakuwa wewe ndiye PolepoleAmeahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
Itakuwa wewe ndiye PolepoleAmeahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
Gwajiboy hoi taabani,huu mchezo amwachie Polepole tuBandika bandua hakuna kupoa, na gwajima aje kukazia maarifa....
Kabisa Mkuu,homa ya ini sio mchezomkuu ,naiheshimu ini kupita maelezo ngwengwe Ina option na olewako uwe unapenda kunyonya haragi la mbeya Ile......... kama unajielewa kachome chanzo ya ini vipimo bei ndogo tu mwingine unakuta anabima kabisa lakini haelewi.
Ameahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
Haswaaasurer
vipimo viheshimiwe NAMI nitajitatolea kwamoyo wote
Afadhali yake, ni mwizi aliyeongoka angalau tunamuelewa.Kilaza SLUG hajui hata kudanganya!![]()
😅
NB: 1. Kwa bei ya Polepole ya gesi,Cuba, nchi hiyo ingekuwa kimbilio la 'wanyonge' wote Duniani!
2. Hata kwa 'psychology' ya kiwango cha chini kabisa, ukiangalia tu macho yake na unyevunyevu wake, anapowasilisha 'story' zake nyingi, utaona kabisa huyu mtu ni muongo na nafsi inamsuta!
3. Wakati shujaa wetu, JPM, anatutoka, hivi viumbe vilivamia BOT na kuchota humo vilivyoweza kuchota! ... dhahabu yetu, pesa zetu za madafu na za kigeni ndizo sasa zinaendesha hizi harakati za akina polepole! WOTE WEZI TU!
Tabia za fisi
Wahuni popote mlipo mfanye kama mnanyoosha mikono tuwaone?Ameahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
Hivyo hivyo,iwe kwa hiari ama shurtiMtake msitake mtampenda tuuu😂
wewe ungekubali kuharibiwa maulaji?Watakuwa wapumbavu.
Tuishi kwa amani na tofauti zetu! MIMI NIACHE TU NIENDELEE KUTODANGANYIKA NA VIJITU VYA HOVYOHOVYO! POLE MKUBWA!Afadhali yake, ni mwizi aliyeongoka angalau tunamuelewa.
Unaweza ukaandika tena hoja zako Mkubwa?
Mwaka huu lazima mpoteane,Angekaa kimya tu. Hakuna mwenye akili anayemtilia maanani. Amekuwa shujaa wa manyumbu.
Tunasubiri,Ameahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
Zile siku 10 za Gwajima kutetemesha nchi na nchi isingekalika tena asipofunguliwa makanisa zake bado hazijaisha??Bandika bandua hakuna kupoa, na gwajima aje kukazia maarifa....