PolePole kuzungumza na Umma kesho tarehe 1/9/2025 saa 3 usiku.

Ila huyu jamaa hawezi kuwa yuko hapa bongo, hii 'sirikali' isingemuacha...angeshatekwa!!.
 
mkuu ,naiheshimu ini kupita maelezo ngwengwe Ina option na olewako uwe unapenda kunyonya haragi la mbeya Ile......... kama unajielewa kachome chanzo ya ini vipimo bei ndogo tu mwingine unakuta anabima kabisa lakini haelewi.
Kabisa Mkuu,homa ya ini sio mchezo
 
Afadhali yake, ni mwizi aliyeongoka angalau tunamuelewa.
Unaweza ukaandika tena hoja zako Mkubwa?
 
Kipindi hiki usipokua na bando ni kasheshe...Inabidi uendane na spidi 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…