Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025

Press anaifanyia wapi au youtube haha

ova
 
Nikiangalia kwa jicho flani la kuibia namwona jamaa ana tu-movement flani tusitokua na macho wala miguu kama Gwajima... Sijui kwa nini Tanzania hatupati wanaharakati ambao wako full equipped full kunji mpaka Ccm wapoteane..
 
Nani kasahau Nape alipo jaribu alitolewa bastola hadharani na akaufyata hadi kutembea umbali kwenda kuomba msamaha kwa Mwendazake
 
Alibagaza kinyesi usoni sasa anaamua kuharisha kabisa
 
Kumbe hajielewi huyo Jamaa,subiri aone kitakachotokea!!!

Anatafuta kuchosha watu na #FreePolepole #DeadOrAlive.

Wenye Mama yao hawatanii hata ukosoaji wa kawaida tu!!
Wewe pandikizi, kwahiyo ulitaka Polepole aufyate, sivyo? Serikali ya wafiraji na wauaji hawatakiwi kupewa nafasi ya kufanya watakalo tu.
 
YUPO bongo au abroad kwa deniss rais dalali mtarajiwa




Na log out
 
Vuta picha na yale macho yatavyotoka nje, jamaa akiwa anahutubia taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…