Polepole: Mamlaka ya Juu( Rais) ilipiga simu Moja tu, Rostam akapewa Mgodi wa Makaa ya Mawe

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.

Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.

Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO

Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .

Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
 
Mods tafadhali, hizi Nyuzi msiwe mnaziunganisha unganisha Kwa sababu ni Haki ya Watanzania kupata taarifa kama hizi !!.

Alafu Usalama wanacheka , Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO kwamba Polisi wataua watu, ni Kwa sababu the whole system imekua corrupted, Top officials wa Vyombo vya Dola ni WAMEPEWA RUSHWA KUBWA MNO!!.. watu wanafanya kazi Kwa manufaa ya watu wachache na sio TAIFA.

Hizi Mbuzi kama Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
bandari ya isaka nayo kapewa GSM
 
Yaani huyo Rostam, mwaka huu ni lazima ayatapike hayo makaa ya mawe, kudadadeki!
 
Mwaka huu kitaeleweka.

Somoe ni Pambo la wapigaji….. muliro kama anasema kuuwa watu basi na yeye ajiandae atakula udongo kama rangi yake

Wanakula hela za umma then anatisha watu

Hawa wazee vilaza sna
 
Mods tafadhali, hizi Nyuzi msiwe mnaziunganisha unganisha Kwa sababu ni Haki ya Watanzania kupata taarifa kama hizi !!.

Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.

Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.

Alafu Usalama wanacheka , Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO kwamba Polisi wataua watu, ni Kwa sababu the whole system imekua corrupted, Top officials wa Vyombo vya Dola ni WAMEPEWA RUSHWA KUBWA MNO!!.. watu wanafanya kazi Kwa manufaa ya watu wachache na sio TAIFA.

Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .

Hizi Mbuzi kama Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Umesahau Lucas Mwashamba
 
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.

Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.

Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO

Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .

Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Usalama, Polisi, serikali kwa sasa vipo kulinda viongozi mafisadi na ufisadi wao ili waendelee kumalizia kuchukua na kuuza rasilimali zote za nchi bila shida yoyote na kuwashugulikia wazalendo wote.
 
Daah wasizwa wapo busy na Lissu sasa anaewabagaza kama yeye mwenyewe anavyosema katoka hapo hapo ndani ya Chama.
Inachotakiwa Watanzania wote ni kuungana ili kuirudisha nchi mikononi mwa wananchi.

Sio kugawanywa na UCCM, UChadema, uvyama, ukabila. WanaCCM na wanaChadema wengi hawana tofauti sana kwenye maisha yao ukilinganisha na Rostam, Kikwete, Samia na machawa wao wachache walijimikilsha CCM, serikali na vyombo vyake vyote.

Polepole, Lissu, Gwajima wanatetea maslahi ya Watanzania wengi kwa wakati Serikali na CCM ya sasa inatetea maslahi ya familia chache, mafisadi na wezi wa kodi mali na rasilimali za umma.
 
Back
Top Bottom