Polepole: Mamlaka ya Juu( Rais) ilipiga simu Moja tu, Rostam akapewa Mgodi wa Makaa ya Mawe

Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.

Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.

Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO

Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .

Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Ndiyo maana Tundu Antpas Mughway anamtaka Samia Suluku Hassan kuwa shahidi wake No 1
 
Saiv ndio namuelewa polepole,magu aliwahenyesha wahuni,sa100 kawapokea kwa mikono miwili wahuni
Tuacheni uhuni sisi kabla ya kuwataka hao waache uhuni magu alipokuwa anawashughulikia hao humu zilijaa thread za kusema anawachukia matajiri leo kiko wap?

Magufuli tutamkumbuk iwe kwa hiyari au lazima
 
Moja ya wajibu wao ni kulinda rasilimali za nchi zidi ya tishio lolote ovu , sasa kama miaka yote iyo wana shuhudia na hao viongozi wana endelea kuwa uongozini miaka na miaka kwa nini wasi laumiwe .
Tatizo wanalijua na wanaliona kama wewe, Nini Kifanyike? Wenye Mamlaka ya kuweka hao Viongozi ni sisi wananchi, na Katiba imetupa hayo Mamlaka, ila sisi ndo hatuyatumii ipasavyo, kwa ujinga wa wapiga Kura wetu, na hilo linawapa Kiburi Viongozi kutenda watakavyo with Imounity. Kura Yako Ndio Siraha Yako !
 
Tuacheni uhuni sisi kabla ya kuwataka hao waache uhuni magu alipokuwa anawashughulikia hao humu zilijaa thread za kusema anawachukia matajiri leo kiko wap?

Magufuli tutamkumbuk iwe kwa hiyari au lazima
Na CHADEMA wanaolalamika humu ndo walikuwa mbele katika kumshambulia Uncle Magu humu JF, waombe radhi Watanzania kwanza kwa hili.
 
Hizi habari itakuwa kweli kwa 100%, kumbuka Rost Tam Aziiv ni mtu wa JK, na kama mjuavyo JK (kwasasa) ndiye boss wa chura kiziwi (alikiri hadharani yeye mwenyewe)...kwa muktadha huo kazi kwisha!!!.
Huyu mama ni HAFAI, HATOSHI wala hana UWEZO!.
 
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.

Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.

Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO

Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .

Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
ndo maana tunahitaji kuanza upya.
hawa kina roast tamu hawa ni wa kufunguliwa mashitaka ya uhujumu uchimi kama mwamba jpm alivofanya kwa singasinga na mwenzie rugemalila
 
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.

Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.

Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO

Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .

Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Binafsi kinacho nikera kwenye hayo makaa ya mawe, ni kuona tu kila siku yanasafirishwa kwenda nje kupitia barabara zetu! Ukipita kwenye barabara ya Iringa Dodoma, utakutana na mashimo ya kila aina kutokana malori kupita huko kiasi cha barabara kuelemewa!

Swali, ni kwa nini viwanda vya kutumia hayo makaa visijengwe ndani ya nchi ili kuongeza ajira na kukuza uchumi? Kwa nini ma Rais (tangu enzi za Mwinyi) wa nchi wanakosa uzalendo juu raslimali za Taifa?

Yaani hawana uchungu na bandari zetu, madini yetu, gesi, bahari, mito, maziwa, makaa ya mawe, mbuga za wanyama, nk!! Yaani wako radhi wawatese wananchi kwa kuwatoza kofi zinazo jirudia, ila siyo kusimamia ipasavyo raslimali lukuki tulizo jaliwa na Mwenyezi Mungu!
Hivi Waafrika tuna laana ya aina gani, kwa kuruhusu mambo ya kijinga kufanyika huku tunaangalia na kulalamikia pembeni?
 
Hearsay!!
Until the says become the bombshell!
Unadhani Lissu Yuko Gerezani Kwa bahati mbaya? Tycoons oligarchies and syndicates have captured the state. Kuuliza alikamatiwa wapi muda Gani na ni kauli ipi alianza kutoa kwenye eneo lenye mgodi upi?
 
Binafsi kinacho nikera kwenye hayo makaa ya mawe, ni kuona tu kila siku yanasafirishwa kwenda nje kupitia barabara zetu! Ukipita kwenye barabara ya Iringa Dodoma, utakutana na mashimo ya kila aina kutokana malori kupita huko kiasi cha barabara kuelemewa!

Swali, ni kwa nini viwanda vya kutumia hayo makaa visijengwe ndani ya nchi ili kuongeza ajira na kukuza uchumi? Kwa nini ma Rais (tangu enzi za Mwinyi) wa nchi wanakosa uzalendo juu raslimali za Taifa?

Yaani hawana uchungu na bandari zetu, madini yetu, gesi, bahari, mito, maziwa, makaa ya mawe, mbuga za wanyama, nk!! Yaani wako radhi wawatese wananchi kwa kuwatoza kofi zinazo jirudia, ila siyo kusimamia ipasavyo raslimali lukuki tulizo jaliwa na Mwenyezi Mungu!

Hivi Waafrika tuna laana ya aina gani, kwa kuruhusu mambo ya kijinga kufanyika huku tunaangalia na kulalamikia pembeni?
Tatizo hatukurithishwa roho, ujasiri na munkari wa kupambania na kutetea rasimali zetu tangu enzi za Nyerere.

Tuliimbishwa zidumu fikra za Mwenyekiti sijui wa madudu dudu gani tu.

Nyerere binafsi alikuwa mwema, mzalendo ila hakupanda ujasiri huo zaidi ya woga.

Tatizo lingine tulilorithi ni ujinga na umaskini. Maskini anawaza kushiba na kulala tu, na mjinga hajali wala hajui haki zake, maendeleo na rasilimali hayamhusu kabisa.

Mfano hai. Ni ardhi. Ardhi inatwaliwa kwa bei ya kutupa na wageni hata kinyume cha sera, kanuni na sheria zenyewe za ardhi ili mtu ashibe leo,, basi.

Ziko Nchi wenyeji asilia wamefutika kabisa ama ni watumwa wa wageni, kwa mambo kama haya.

Tusubiri na sisi, huenda tutakuwa watumwa siku moja au tayari.
 
bandari ya isaka nayo kapewa GSM
Duh, nilipita mwezi Julai nikaona kuna ujenzi wa ukuta nikajisemea pamekaa vizuri kumbe ni GSM anakarabati au serikali ndio inamfanyia hadi ukarabati yeye aanze na kula maokoto tu.
 
Yote yaliaanza baada ya kutoa ofa ya kununua eneo moja linapakana na ICD ya Isaka, kumbe wakapata tamaa, wakapanda juu zaidi na kuomba kuinunua ICD yote,
Aisee wakati wanakuja kugakagua hilo eneo la kununua walikuja na helicopter wakawa wanazunguka Isaka yote kwa juu.
Duuh! nimekosa cha juu kwenye hilo dili....
 
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.

Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.

Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO

Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .

Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Ok. Tunathibitishaje mamlaka ya juu ilipiga simu moja tu? Unajua kila mtu anaweza kutengeneza story, ila the issue is: uthibitisho! Kwa mfano, naweza kuunda story jamaa ngoma inapiga kichwani hivi sasa. Ila sina uthibitisho wa maabara.
 
Tuacheni uhuni sisi kabla ya kuwataka hao waache uhuni magu alipokuwa anawashughulikia hao humu zilijaa thread za kusema anawachukia matajiri leo kiko wap?

Magufuli tutamkumbuk iwe kwa hiyari au lazima
Na wakasema hawataki tena rais mwenye historia ya umasikini kama MAGU!!! Walisema magu anafukuza wawekezaji,
Mwaka 2015 rostam alikimbilia Kenya, wakaanza na maneno amekimbiza wawekezaji!!!
 
Na walimpokea mwanamtandao kiongozi kabsa (lowasa) pamoja na rostam akiwa mfadhili wa lowasa!!!
CDM hakuna wanachojua, yamejaa mambumbumbu tuu!!!
kwa hiyo 2015 baada ya kuona upande fulani mambo ni magumu, akaamia upande wa pili, japo hesabu hazikwenda vizuri
 
Back
Top Bottom