Polepole: Mamlaka ya Juu( Rais) ilipiga simu Moja tu, Rostam akapewa Mgodi wa Makaa ya Mawe

Polepole: Mamlaka ya Juu( Rais) ilipiga simu Moja tu, Rostam akapewa Mgodi wa Makaa ya Mawe

SI KWELI, HUU NI UONGO.

Tancoal alikuwa anadaiwa na Caspian, na sio Caspian tu, Tancoal alikuwa na madeni meengi sana na mpaka leo wapo wanaomdai na ameshindwa kuwalipa.

Tancoal - Mwekezaji 60% na GOT 40%.
Mwekezaji ndio aliyekuwa anafanya operation na ndio aliyempa kazi Caspian ya load and haul, mwekezaji akalimbikiza deni kwa miaka kadhaa kutokana na market constrains, deni likawa kubwa operation ikasimama,, Caspian akaenda mahakamani wakakubaliana Tancoal analiziwe hela juu ya deni ili aachie 60% hisa na hicho ndio kilichotokea.
Tancoal hata baada ya kulipwa hela bado ameshindwa kulipa wadeni wake wengine.

Hicho hicho kilichotokea Kwa Tancoal ndio kimetokea pale Mwadui kwa Petra Diamond kumuachia hisa Caspian (Taifa) baada ya kushindwa kumlipa Caspian baada ya Caspian kutoa huduma kwa muda mrefu.
Alichofanya Caspian((Taifa) ni kulipa hela juu ya deni ili kumalizana na Petra Diamond na yeye kuchukua hisa za Petra na kuwa majority share holder.
Hivyo kwasasa hata mgodi wa Mwadui majority share holder ni Caspian (Taifa).

TUTAFUTE TAARIFA SAHIHI TUACHE KUMEZAMEZA TU KILA KINACHOKUJA.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Naomba kuuliza hivi JF kuna ofisi za CCM.Sio kwa kumsifu mchepuko wa msoga.
IMG_2136.jpeg
 
Inachotakiwa Watanzania wote ni kuungana ili kuirudisha nchi mikononi mwa wananchi.

Sio kugawanywa na UCCM, UChadema, uvyama, ukabila. WanaCCM na wanaChadema wengi hawana tofauti sana kwenye maisha yao ukilinganisha na Rostam, Kikwete, Samia na machawa wao wachache walijimikilsha CCM, serikali na vyombo vyake vyote.

Polepole, Lissu, Gwajima wanatetea maslahi ya Watanzania wengi kwa wakati Serikali na CCM ya sasa inatetea maslahi ya familia chache, mafisadi na wezi wa kodi mali na rasilimali za umma.
Tuirudishe kwa kanisa??? Never ever
 
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.

Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.

Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO

Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .

Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Na si ndo Rostam huyo huyo alisemaga SIMU MOJA TU TOKA JUU MAHAKAMA CHALIIII...!!!???
 
Wanasiasa wanapokea Rushwa kuanzia 100m na kuendelea ,inafuta na position
 
TWISS ina meno kwa watu wasio jiweza tu uko kwingine nao ni waoga tu hawagusi
 
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.

Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.

Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO

Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .

Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Taifa la Tanzania ama Kweli tulipata Hasara ya kutopata Viongozi !
 
TWISS ina meno kwa watu wasio jiweza tu uko kwingine nao ni waoga tu hawagusi
Tusiwalaumu TWISS kwa kila janga, kama tuna Viongozi Viziwi ulitaka wao wafanye nini! Kuna mizigo mingine isiyo yao, tangu lini Kiziwi kasikiliza?
 
Ngoja Trump azidi kubana misaada , watakuja kutoza Kodi hata malipo ya huduma za Vyoo vya stendi zetu.
 
System nzima kwa mapana yake ....wakiweza eliminate watu 2 tu tutapona kama Taifa,..hao
....
 
anaeshiriki masuala potofu ya ushirikina na ramli chonganishi ndie pekee anaweza kupoteza muda kuskiliza story na porojo za upotoshaji za msukule polepole na kuziamini na kukimbilia kuja kuziropoka humu jukwaani,

inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwa mdau wa JF kuchagua aina hii ya umaskini wa fikra gentleman 🐒
Acha dhihaka Pole Pole bado ni hazina na a smart guy, he is not your Type Mr Carlos.
 
Tusiwalaumu TWISS kwa kila janga, kama tuna Viongozi Viziwi ulitaka wao wafanye nini! Kuna mizigo mingine isiyo yao, tangu lini Kiziwi kasikiliza?
Moja ya wajibu wao ni kulinda rasilimali za nchi zidi ya tishio lolote ovu , sasa kama miaka yote iyo wana shuhudia na hao viongozi wana endelea kuwa uongozini miaka na miaka kwa nini wasi laumiwe .
 
Tanganyika Haina Hiyo Taasisi.
Nadhani Bora Tiss Ifutwe,nafasi Hiyo Wachukue Taasisi Ya Jeshi
)Military Intelligence.)
Mnapendaga kutiririka hata bila kujua mnaandika nini,hivi mnadhani jeshi mnaloliita lenu lina uwezo sana sio???hiyo ni sawa na kusema fridge imezima wiki moja barafu zimeyeyuka maana maji yanachuruzika ila ndizi zilizokuwemo zitakuwa nzima kabisa.
 
Mwaka huu kitaeleweka.

Somoe ni Pambo la wapigaji….. muliro kama anasema kuuwa watu basi na yeye ajiandae atakula udongo kama rangi yake

Wanakula hela za umma then anatisha watu

Hawa wazee vilaza sna
Katika kipindi jeshi limekuwa la hovyo ni hili lililo chini ya wambura yule mzee n̈adhani hata bangi anavuta ni mweupe haswaa na ameingizwa kwenye siasa na kaliingixa jeshi lote kwenye siasa
 
Moja ya wajibu wao ni kulinda rasilimali za nchi zidi ya tishio lolote ovu , sasa kama miaka yote iyo wana shuhudia na hao viongozi wana endelea kuwa uongozini miaka na miaka kwa nini wasi laumiwe .
Walioruhusu iundwe walihakikisha inakosa uwezo kamili wa kujisimamia kama zilivyo taasisi nyingine,lakini yenyewe kuipa walau hata kashingo karefu,ni kumuweka rais kama mfadhili mkuu,tayari hii ilikuwa lugha nyingine ya neno(kuiweka takoni kwake).
 
Acha dhihaka Pole Pole bado ni hazina na a smart guy, he is not your Type Mr Carlos.
hazina ya uropokaji na upotoshaji right?

yaani mtu timamu unabebwa ufala kifikra na msukule kama polepole?
why mnakua maskini wa fikra wa kiwango hicho kibaya sana gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom