Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
bandari ya isaka nayo kapewa GSMMods tafadhali, hizi Nyuzi msiwe mnaziunganisha unganisha Kwa sababu ni Haki ya Watanzania kupata taarifa kama hizi !!.
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Alafu Usalama wanacheka , Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO kwamba Polisi wataua watu, ni Kwa sababu the whole system imekua corrupted, Top officials wa Vyombo vya Dola ni WAMEPEWA RUSHWA KUBWA MNO!!.. watu wanafanya kazi Kwa manufaa ya watu wachache na sio TAIFA.
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Hizi Mbuzi kama Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Ndo Maana alitoa 10Bbbandari ya isaka nayo kapewa GSM
Yaani huyo Rostam, mwaka huu ni lazima ayatapike hayo makaa ya mawe, kudadadeki!Mods tafadhali, hizi Nyuzi msiwe mnaziunganisha unganisha Kwa sababu ni Haki ya Watanzania kupata taarifa kama hizi !!.
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Alafu Usalama wanacheka , Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO kwamba Polisi wataua watu, ni Kwa sababu the whole system imekua corrupted, Top officials wa Vyombo vya Dola ni WAMEPEWA RUSHWA KUBWA MNO!!.. watu wanafanya kazi Kwa manufaa ya watu wachache na sio TAIFA.
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Hizi Mbuzi kama Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Mwaka huu kitaeleweka.Mods tafadhali, hizi Nyuzi msiwe mnaziunganisha unganisha Kwa sababu ni Haki ya Watanzania kupata taarifa kama hizi !!.
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Alafu Usalama wanacheka , Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO kwamba Polisi wataua watu, ni Kwa sababu the whole system imekua corrupted, Top officials wa Vyombo vya Dola ni WAMEPEWA RUSHWA KUBWA MNO!!.. watu wanafanya kazi Kwa manufaa ya watu wachache na sio TAIFA.
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Hizi Mbuzi kama Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Umesahau Lucas MwashambaMods tafadhali, hizi Nyuzi msiwe mnaziunganisha unganisha Kwa sababu ni Haki ya Watanzania kupata taarifa kama hizi !!.
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Alafu Usalama wanacheka , Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO kwamba Polisi wataua watu, ni Kwa sababu the whole system imekua corrupted, Top officials wa Vyombo vya Dola ni WAMEPEWA RUSHWA KUBWA MNO!!.. watu wanafanya kazi Kwa manufaa ya watu wachache na sio TAIFA.
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Hizi Mbuzi kama Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
mpo watupu sana. PK alishathibitisha hiloVyombo vya usalama nchi hii ni mzigo kwa watanzania.
Ngoja waandikiwe majibu na wana mtandao, wachumia tumbo tu waleTlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Usalama, Polisi, serikali kwa sasa vipo kulinda viongozi mafisadi na ufisadi wao ili waendelee kumalizia kuchukua na kuuza rasilimali zote za nchi bila shida yoyote na kuwashugulikia wazalendo wote.Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Wao wapo busy kuwalinda wanaochuma hela emu fikiria TRA wanakuja na kodi ya Ukimwi kwenye magari wakati kuna pesa za mgodi inachezewa huku na wapo kimya..Vyombo vya usalama nchi hii ni mzigo kwa watanzania.
Inachotakiwa Watanzania wote ni kuungana ili kuirudisha nchi mikononi mwa wananchi.Daah wasizwa wapo busy na Lissu sasa anaewabagaza kama yeye mwenyewe anavyosema katoka hapo hapo ndani ya Chama.