Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
must be uprooted! now!!!!!The system is rotten to the core
Polisiccm wao kazi yao kubwa na kuu ni kuwaonea kuwatesa kuwapiga kuwaua kuwabambikia kesi za uongo chadema kwa sasa ni fahari kwa polisiccm kumuonea kumtesa mwanachama wa chademaUsalama, Polisi, serikali kwa sasa vipo kulinda viongozi mafisadi na ufisadi wao ili waendelee kumalizia kuchukua na kuuza rasilimali zote za nchi bila shida yoyote na kuwashugulikia wazalendo wote.
Mbowe sasa ni chawaccm kawa Dalali mkuu wa Siasa kutoa watu chadema kuwasokomeza chaum ubwabwa kwa malipo ya mabilioni toka kwa ibilisi wa ccm, miradi ya kifisadi ni mingiInachotakiwa Watanzania wote ni kuungana ili kuirudisha nchi mikononi mwa wananchi.
Sio kugawanywa na UCCM, UChadema, uvyama, ukabila. WanaCCM na wanaChadema wengi hawana tofauti sana kwenye maisha yao ukilinganisha na Rostam, Kikwete, Samia na machawa wao wachache walijimikilsha CCM, serikali na vyombo vyake vyote.
Polepole, Lissu, Gwajima wanatetea maslahi ya Watanzania wengi kwa wakati Serikali na CCM ya sasa inatetea maslahi ya familia chache, mafisadi na wezi wa kodi mali na rasilimali za umma.
Kwa hiyo Pole pole huwa anasikiliza simu za Rais? Kwa akili yako umeamini hivyo?Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Nasikia Huyu kapata teuzi sababu ya uchawa 🤔Umesahau Lucas Mwashamba
Huyo RPC mda wake wa ajila ulikwisha kitambo yupo Ofisini kwa Hisani za mama mkoloni kaburu toka Zanzibar kwa kazi maalum ya kuwaonea kuwateka kuwabambikia kesi za uongo chadema, kwa sasa watesi wote wamejulikana mungu anazidi kuwaumbuaMwaka huu kitaeleweka.
Somoe ni Pambo la wapigaji….. muliro kama anasema kuuwa watu basi na yeye ajiandae atakula udongo kama rangi yake
Wanakula hela za umma then anatisha watu
Hawa wazee vilaza sna
Hayo maswali gani? Kwani mabaya ya ccm lazima kusikiliza Simu? Mfano Uonevu wako kwa Lisu na manyanyaso yako kwa chadema pia biashara haramu za akina Rostam lazima usikilize simu? Tambua chochote kinachoshirikisha wengi lazima siri zitavuja tu na hasa ukizingatia polepole ana watu wengi huko kwenu wanamletea taarifa mda woteKwa hiyo Pole pole huwa anasikiliza simu za Rais? Kwa akili yako umeamini hivyo?
Hata pesa zinazotumika kudidimiza demokrasia kuwanunua watu toka chadema kuwasokomeza Chauma Ubwabwa kuwagharamia mabilioni ya pesa ni wizi mpya na hatari zaidi kwani hizo pesa zingeweza kusaidia wenye ukimwi na pia kujenga barabara na maendeleo mengineWao wapo busy kuwalinda wanaochuma hela emu fikiria TRA wanakuja na kodi ya Ukimwi kwenye magari wakati kuna pesa za mgodi inachezewa huku na wapo kimya..
Nyumbu kila wanachosikia wanakiamini. Sishangai ndio maana hata akina Zumaridi na Kiboko ya wachawi wana wafuasi wengi.Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Kwani Rostam akipewa hayo makaa kuna shida gani? Si mtanzania mwenzetu, na ataajiri watanzania wenzake, na atalipa kodi serikali itafaidikaWakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Ulitaka wapewe Wazungu ndio ushangilie?Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Ndo mana anaambiwa hatukubani kwenye biasharaNdo Maana alitoa 10Bb
Kikwete gengeSaiv ndio namuelewa polepole,magu aliwahenyesha wahuni,sa100 kawapokea kwa mikono miwili wahuni
Kwa heri uhuru, kwa heri ukoloniWakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
anaeshiriki masuala potofu ya ushirikina na ramli chonganishi ndie pekee anaweza kupoteza muda kuskiliza story na porojo za upotoshaji za msukule polepole na kuziamini na kukimbilia kuja kuziropoka humu jukwaani,Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Haiitwi military intelligence. Inaitwa "Combat Intelligence"Tanganyika Haina Hiyo Taasisi.
Nadhani Bora Tiss Ifutwe,nafasi Hiyo Wachukue Taasisi Ya Jeshi
)Military Intelligence.)