Polepole: Mamlaka ya Juu( Rais) ilipiga simu Moja tu, Rostam akapewa Mgodi wa Makaa ya Mawe

SI KWELI, HUU NI UONGO.

Tancoal alikuwa anadaiwa na Caspian, na sio Caspian tu, Tancoal alikuwa na madeni meengi sana na mpaka leo wapo wanaomdai na ameshindwa kuwalipa.

Tancoal - Mwekezaji 60% na GOT 40%.
Mwekezaji ndio aliyekuwa anafanya operation na ndio aliyempa kazi Caspian ya load and haul, mwekezaji akalimbikiza deni kwa miaka kadhaa kutokana na market constrains, deni likawa kubwa operation ikasimama,, Caspian akaenda mahakamani wakakubaliana Tancoal analiziwe hela juu ya deni ili aachie 60% hisa na hicho ndio kilichotokea.
Tancoal hata baada ya kulipwa hela bado ameshindwa kulipa wadeni wake wengine.

Hicho hicho kilichotokea Kwa Tancoal ndio kimetokea pale Mwadui kwa Petra Diamond kumuachia hisa Caspian (Taifa) baada ya kushindwa kumlipa Caspian baada ya Caspian kutoa huduma kwa muda mrefu.
Alichofanya Caspian((Taifa) ni kulipa hela juu ya deni ili kumalizana na Petra Diamond na yeye kuchukua hisa za Petra na kuwa majority share holder.
Hivyo kwasasa hata mgodi wa Mwadui majority share holder ni Caspian (Taifa).

TUTAFUTE TAARIFA SAHIHI TUACHE KUMEZAMEZA TU KILA KINACHOKUJA.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Naomba kuuliza hivi JF kuna ofisi za CCM.Sio kwa kumsifu mchepuko wa msoga.
 
Tuirudishe kwa kanisa??? Never ever
 
Na si ndo Rostam huyo huyo alisemaga SIMU MOJA TU TOKA JUU MAHAKAMA CHALIIII...!!!???
 
Wanasiasa wanapokea Rushwa kuanzia 100m na kuendelea ,inafuta na position
 
TWISS ina meno kwa watu wasio jiweza tu uko kwingine nao ni waoga tu hawagusi
 
Taifa la Tanzania ama Kweli tulipata Hasara ya kutopata Viongozi !
 
TWISS ina meno kwa watu wasio jiweza tu uko kwingine nao ni waoga tu hawagusi
Tusiwalaumu TWISS kwa kila janga, kama tuna Viongozi Viziwi ulitaka wao wafanye nini! Kuna mizigo mingine isiyo yao, tangu lini Kiziwi kasikiliza?
 
Ngoja Trump azidi kubana misaada , watakuja kutoza Kodi hata malipo ya huduma za Vyoo vya stendi zetu.
 
System nzima kwa mapana yake ....wakiweza eliminate watu 2 tu tutapona kama Taifa,..hao
....
 
Acha dhihaka Pole Pole bado ni hazina na a smart guy, he is not your Type Mr Carlos.
 
Tusiwalaumu TWISS kwa kila janga, kama tuna Viongozi Viziwi ulitaka wao wafanye nini! Kuna mizigo mingine isiyo yao, tangu lini Kiziwi kasikiliza?
Moja ya wajibu wao ni kulinda rasilimali za nchi zidi ya tishio lolote ovu , sasa kama miaka yote iyo wana shuhudia na hao viongozi wana endelea kuwa uongozini miaka na miaka kwa nini wasi laumiwe .
 
Tanganyika Haina Hiyo Taasisi.
Nadhani Bora Tiss Ifutwe,nafasi Hiyo Wachukue Taasisi Ya Jeshi
)Military Intelligence.)
Mnapendaga kutiririka hata bila kujua mnaandika nini,hivi mnadhani jeshi mnaloliita lenu lina uwezo sana sio???hiyo ni sawa na kusema fridge imezima wiki moja barafu zimeyeyuka maana maji yanachuruzika ila ndizi zilizokuwemo zitakuwa nzima kabisa.
 
Mwaka huu kitaeleweka.

Somoe ni Pambo la wapigaji….. muliro kama anasema kuuwa watu basi na yeye ajiandae atakula udongo kama rangi yake

Wanakula hela za umma then anatisha watu

Hawa wazee vilaza sna
Katika kipindi jeshi limekuwa la hovyo ni hili lililo chini ya wambura yule mzee n̈adhani hata bangi anavuta ni mweupe haswaa na ameingizwa kwenye siasa na kaliingixa jeshi lote kwenye siasa
 
Moja ya wajibu wao ni kulinda rasilimali za nchi zidi ya tishio lolote ovu , sasa kama miaka yote iyo wana shuhudia na hao viongozi wana endelea kuwa uongozini miaka na miaka kwa nini wasi laumiwe .
Walioruhusu iundwe walihakikisha inakosa uwezo kamili wa kujisimamia kama zilivyo taasisi nyingine,lakini yenyewe kuipa walau hata kashingo karefu,ni kumuweka rais kama mfadhili mkuu,tayari hii ilikuwa lugha nyingine ya neno(kuiweka takoni kwake).
 
Acha dhihaka Pole Pole bado ni hazina na a smart guy, he is not your Type Mr Carlos.
hazina ya uropokaji na upotoshaji right?

yaani mtu timamu unabebwa ufala kifikra na msukule kama polepole?
why mnakua maskini wa fikra wa kiwango hicho kibaya sana gentleman?🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…