Ndiyo maana Tundu Antpas Mughway anamtaka Samia Suluku Hassan kuwa shahidi wake No 1Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Tuacheni uhuni sisi kabla ya kuwataka hao waache uhuni magu alipokuwa anawashughulikia hao humu zilijaa thread za kusema anawachukia matajiri leo kiko wap?Saiv ndio namuelewa polepole,magu aliwahenyesha wahuni,sa100 kawapokea kwa mikono miwili wahuni
Tatizo wanalijua na wanaliona kama wewe, Nini Kifanyike? Wenye Mamlaka ya kuweka hao Viongozi ni sisi wananchi, na Katiba imetupa hayo Mamlaka, ila sisi ndo hatuyatumii ipasavyo, kwa ujinga wa wapiga Kura wetu, na hilo linawapa Kiburi Viongozi kutenda watakavyo with Imounity. Kura Yako Ndio Siraha Yako !Moja ya wajibu wao ni kulinda rasilimali za nchi zidi ya tishio lolote ovu , sasa kama miaka yote iyo wana shuhudia na hao viongozi wana endelea kuwa uongozini miaka na miaka kwa nini wasi laumiwe .
Na CHADEMA wanaolalamika humu ndo walikuwa mbele katika kumshambulia Uncle Magu humu JF, waombe radhi Watanzania kwanza kwa hili.Tuacheni uhuni sisi kabla ya kuwataka hao waache uhuni magu alipokuwa anawashughulikia hao humu zilijaa thread za kusema anawachukia matajiri leo kiko wap?
Magufuli tutamkumbuk iwe kwa hiyari au lazima
......kuna jambo lazima lifanyike....Taifa linaangamia sbb watu 2 sio sawaaTumuachie Hiyo Kazi Allah !
ndo maana tunahitaji kuanza upya.Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Binafsi kinacho nikera kwenye hayo makaa ya mawe, ni kuona tu kila siku yanasafirishwa kwenda nje kupitia barabara zetu! Ukipita kwenye barabara ya Iringa Dodoma, utakutana na mashimo ya kila aina kutokana malori kupita huko kiasi cha barabara kuelemewa!Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Safi sana haya ndo majibu kwa WAJINGA 🙏🙏🙏😅😅😅😅wanakukaza bila kondomu
Rostam hajawahi kuwa msafiNyumbu kila wanachosikia wanakiamini. Sishangai ndio maana hata akina Zumaridi na Kiboko ya wachawi wana wafuasi wengi.
Until the says become the bombshell!Hearsay!!
ndo maana tunahitaji kuanza upya.
hawa kina roast tamu hawa ni wa kufunguliwa mashitaka ya uhujumu uchimi kama mwamba jpm alivofanya kwa singasinga na mwenzie rugemalila
Tatizo hatukurithishwa roho, ujasiri na munkari wa kupambania na kutetea rasimali zetu tangu enzi za Nyerere.Binafsi kinacho nikera kwenye hayo makaa ya mawe, ni kuona tu kila siku yanasafirishwa kwenda nje kupitia barabara zetu! Ukipita kwenye barabara ya Iringa Dodoma, utakutana na mashimo ya kila aina kutokana malori kupita huko kiasi cha barabara kuelemewa!
Swali, ni kwa nini viwanda vya kutumia hayo makaa visijengwe ndani ya nchi ili kuongeza ajira na kukuza uchumi? Kwa nini ma Rais (tangu enzi za Mwinyi) wa nchi wanakosa uzalendo juu raslimali za Taifa?
Yaani hawana uchungu na bandari zetu, madini yetu, gesi, bahari, mito, maziwa, makaa ya mawe, mbuga za wanyama, nk!! Yaani wako radhi wawatese wananchi kwa kuwatoza kofi zinazo jirudia, ila siyo kusimamia ipasavyo raslimali lukuki tulizo jaliwa na Mwenyezi Mungu!
Hivi Waafrika tuna laana ya aina gani, kwa kuruhusu mambo ya kijinga kufanyika huku tunaangalia na kulalamikia pembeni?
Ukiwakuta mitaani wanavyojitapa!Tanganyika Haina Hiyo Taasisi.
Nadhani Bora Tiss Ifutwe,nafasi Hiyo Wachukue Taasisi Ya Jeshi
)Military Intelligence.)
Duh, nilipita mwezi Julai nikaona kuna ujenzi wa ukuta nikajisemea pamekaa vizuri kumbe ni GSM anakarabati au serikali ndio inamfanyia hadi ukarabati yeye aanze na kula maokoto tu.bandari ya isaka nayo kapewa GSM
Yote yaliaanza baada ya kutoa ofa ya kununua eneo moja linapakana na ICD ya Isaka, kumbe wakapata tamaa, wakapanda juu zaidi na kuomba kuinunua ICD yote,Duh, nilipita mwezi Julai nikaona kuna ujenzi wa ukuta nikajisemea pamekaa vizuri kumbe ni GSM anakarabati au serikali ndio inamfanyia hadi ukarabati yeye aanze na kula maokoto tu.
Ok. Tunathibitishaje mamlaka ya juu ilipiga simu moja tu? Unajua kila mtu anaweza kutengeneza story, ila the issue is: uthibitisho! Kwa mfano, naweza kuunda story jamaa ngoma inapiga kichwani hivi sasa. Ila sina uthibitisho wa maabara.Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'.
Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO
Ama kweli, Watanzania na Wazalendo wote, Vita hii tusirudi Nyuma .
Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe kutwa kutetea watu wahuni wanaoitapanya Nchi yetu , Huwa zinapata wapi gut ya namna hii?.
Na wakasema hawataki tena rais mwenye historia ya umasikini kama MAGU!!! Walisema magu anafukuza wawekezaji,Tuacheni uhuni sisi kabla ya kuwataka hao waache uhuni magu alipokuwa anawashughulikia hao humu zilijaa thread za kusema anawachukia matajiri leo kiko wap?
Magufuli tutamkumbuk iwe kwa hiyari au lazima
Na walimpokea mwanamtandao kiongozi kabsa (lowasa) pamoja na rostam akiwa mfadhili wa lowasa!!!Na CHADEMA wanaolalamika humu ndo walikuwa mbele katika kumshambulia Uncle Magu humu JF, waombe radhi Watanzania kwanza kwa hili.
kwa hiyo 2015 baada ya kuona upande fulani mambo ni magumu, akaamia upande wa pili, japo hesabu hazikwenda vizuriNa walimpokea mwanamtandao kiongozi kabsa (lowasa) pamoja na rostam akiwa mfadhili wa lowasa!!!
CDM hakuna wanachojua, yamejaa mambumbumbu tuu!!!