Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu unafanya Kazi nzuri ya habari barikiwa SanaMchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Chanzo?Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Yule mtu anazingua kupumzika hataki kabisa ndo maana magu alimwambiaga anawashwa washwaKwa ufupi Kikwete ndio mvurugaji wa mambo
Mchakato uliokupitisha ni batili wewe mmama😏Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.
Mimi mkivurugana na nenepa😅Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.
HaahaaHaahaa wapi Msajili wa vyama vya siasa?Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”