GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mavi ya kale hayanuki. Tunashughulika na wale wanaokunya leo na kesho!
Kwenye siasa hakuna hicho kitu sijui kwa kiswahili ndo mnasema mavi ya kale..
Mind You , in politics there is neither a permanent friend nor enemy... But Interest that can be in your favor.
This young boy polepole amekosA vyooteee... Enemy, friend, interest...
 
Hivi polepole wakati Lisu kamiminiwa risasi alizungumziaje sula Lile? Kwa wenye kujua tunaomba watujuze
 
wewe idd amin mama nenda kapumzike before too late, huna uwezo wq kuongoza.
Samia kaleta utekaji, ubakaji, ulawiti, na mauaji kama yalivyokuwa yakifanya Zanzibar enzi hizo, Hatumtaki huyo Samia, kama ZNZ hawana mtu mwingine wa badala yake basi wakae nae huko huko......Hatumtaki kwa tabia zake za ki-imla na za kibabe. Aondoke, HAFAI. Nchi yetu imekuwa ya ovyo, laughing stock of the whole world. Hafai kuongoza, hata kuongoza bongoflava hafai. Arudishe Mabilioni ya dollar aliyopeleka ZNZ.
 
Samia kaleta utekaji, ubakaji, ulawiti, na mauaji kama yalivyokuwa yakifanya Zanzibar enzi hizo, Hatumtaki huyo Samia, kama ZNZ hawana mtu mwingine wa badala yake basi wakae nae huko huko......Hatumtaki kwa tabia zake za ki-imla na za kibabe. Aondoke, HAFAI. Nchi yetu imekuwa ya ovyo, laughing stock of the whole world. Hafai kuongoza, hata kuongoza bongoflava hafai. Arudishe Mabilioni ya dollar aliyopeleka ZNZ.
HApama kwamza fomu ni moja.
Pili kuna vyama vingine vina wagombea
 
Anyway Polepole is right. Huo ndio ubaya wa kuona nchi inaendeshwa isivyo kidemokrasia tunanyamaza. Hii imeenda mpaka kwenye mambo nyeti ya uongozi wa nchi
 
ACHA uongo kwahiyo Huo mkutano mkuu ukiamua kuchagua Gigy money kuwa Raisi ni SAWA? Polepole kaeleza vyema usitufanye Kama hatukuelewa
Inshu nikufata dual process yakumtafuta mgombea mchakato ambao unamtaka mgombea uraisi aupitie ikiwa nipamoja na kuchukua form ,kutafuta wadhamini Bara na visiwani, pia aupitie mchakato wakichama wote , then mkutano mkuu ashindanishwe kwenye majina matatu , then achaguliwe Sasa
 
Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

Kusema ni mgombea mmoja ni makosa

Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!

“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”

Soma zaidi
Fomu atakwenda kuchukua tarehe 27 August, atazunguka nchi nzima.

Alitaka mchakato ufanyike wakati Samia anakwenda kuingia awamu ya pili ya urais wake?. Huyu brother apewe shule na itolewe kupitia vyombo vya habari na mwanasheria mwenye kufahamika na kuheshimika.
 
Mtu mmoja kuchukua fomu ina tofauti gani na kumpitisha bila kupingwa?maana hata angechukua fomu angechukua peke yake
Samia hakuhitaji kuchukua fomu muda huu, anakwenda kumalizia miaka mitano ya pili ya awamu yake. Aliingia ikulu mwaka 2021 ni miaka minne aliyokaa ikulu, hivyo inahesabika kuwa amehudumu kwa awamu nzima akiwa kiongozi kwa zaidi ya nusu ya muda wa miaka mitano.

Mkapa kuna mtu alimchukulia fomu mwaka 2000?. Kikwete kuna mtu alimchukulia fomu mwaka 2010?.

Magufuli kuna mtu alimchukulia fomu mwaka 2020?. Mpuuzi huyo Pole Pole.
 
Back
Top Bottom