GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa ufupi Kikwete ndio mvurugaji wa mambo
Ukiwaona watu wanakupigia makofi sana jitathmini mkuu maana sio kila anaepiga makofi amefurahishwa na kile ulichosema wengine wamechoka kukusikiliza wanataka umalize kuongea ushuke wawasikilize wengine
 
Polepole hana Shukrani yeye mwenyewe kuingia siasa na kumeremeta ni Kikwete ndiye aliyemuibua machakani huko na kumwingiza kwenye tume ya katiba

Sasa kama Kikwete kamwibua Mama Samia mjinga mkubwa.polepole kinamuuma nini? Yeye bila Kikwete nani angemjua na division zero yake ya Form six Benjamin Mkapa High school
 
Polepole yuko sawa lakini ni mtu ambaye anajifanya mwanaharakati baada ya maslahi yake kuguswa...

Wakati yuko madarakani enzi za Magu sikuwahi kuona akikemea wizi wa kura 2020, sikuwahi kuona akikemea wapinzani kunyanyasika na wengine kupigwa risasi kama Tundu Lissu... Ukichunguza unaona kuna kaunafiki flani...

Halafu press yake mara ajisifie badala ya kushusha nondo hata akiongelea contest anatumia lugha ya kuremba remba badala ya ku-hit direct.

Ndo maana mi nawapenda Boniface Mwambusi na Tundu Lissu awarembeshi kwenye kukemea jambo
 
Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

Kusema ni mgombea mmoja ni makosa

Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!

“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”

Very intelligent individual. Haya ya kumchagua Samia kihuni haikupaswa kufanywa. Nchi inapelekwa ki-imla imla.
 
Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

Kusema ni mgombea mmoja ni makosa

Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!

“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”

Kikwete anaendelea kuharibu nchi yetu, yeye na huyo Samia wake wameshanajisi nchi yetu.
 
Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

Kusema ni mgombea mmoja ni makosa

Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!

“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”

Kuzungumzia mchakato wa ccm bila kuutazama mchakato unaoleta haki kwa vyama vyote ni kutolitendea haki taifa. Kwa nilivyoelewa yeye anajali mambo yaende vizuir ndani ya chama, malalamiko ya wengine si tatizo kwake. Wahuni ni wengi.
 
Rais mwenye najisiiii..
Rais wa kilwete sio rais wetuu
 
Muongo sio kweli

Mkutano mkuu ndio kikao cha juu kabisa cha chama waweza amua hata kuvunja kamati kuu au halmashauri kuu

Ndio wenye maamuzi ya mwisho kwenye kila jambo waweza hata amus kufuta katiba ya CCM iliyopo na kuleta mpya

Mkutano mkuu hawapo pale kama picha tu waweza puuza hata maamuzi ya kamati kuu au halmashauri kuu au chochote au kilichopitishwa na vikao vya chini au ambacho hakijapitishwa wao ndio hupitisha wagombea .

Katiba ni mali ya Mkutano mkuu sababu ndio uwezo wa kubadili au kuamua chochote
Mkutano mkuu hauwajibiki kwa kikao chochote cha chini

Walivyoamua Samia awe Mgombea pekee wako sahihi hawahitaji mapendekezo toka vikao vya chini kuamua
Mtu mmoja kuchukua fomu ina tofauti gani na kumpitisha bila kupingwa?maana hata angechukua fomu angechukua peke yake
 
Mtu mmoja kuchukua fomu ina tofauti gani na kumpitisha bila kupingwa?maana hata angechukua fomu angechukua peke yake
Uelewe kwanza Samia hajachukua fomu kuomba ateuliwe na CCM

Mkutano mkuu ndio ulioamua hana fomu yoyote

Baada ya chama kufanya uteuzi fomu ataenda kuchukua kwenye tume ya uchaguzi
Tume ya uchaguzi humpa fomu mtu mmoja tu kila chama aliyeteuliwa na mkutano mkuu wa chama husika
 
Ndio mkutano mkuu wa CCM ndio kikao cha juu cha maamuzi yoyote kuhusu chama

Ni sawa Raisi yeye ndie mwenye maamuxi ya mwisho kwa chochote

Mapendekezo yaweza toka chini au ndani ya mkutano mkuu wenyewe na kufanyiwa maamuzi sio lazima kusubiri Mapendekezo ya Chini
Hujajibu swali wewe mpumbavu katiba ya Chama ina kazi gani?
 
Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.
sio polepole tu, wengi hatukutaki wewe raia wa zenjibar unae ng'ang'ania urais wakati uwezo huna, tumeapa lazima tukufurushe.
 
Uelewe kwanza Samia hajachukua fomu kuomba ateuliwe na CCM

Mkutano mkuu ndio ulioamua hana fomu yoyote

Baada ya chama kufanya uteuzi fomu ataenda kuchukua kwenye tume ya uchaguzi
Tume ya uchaguzi humpa fomu mtu mmoja tu kila chama aliyeteuliwa na mkutano mkuu wa chama husika
Yaan kakikundi fulani kanaamua ndio mnasema mkutano mkuu are you stupid?
 
Back
Top Bottom