LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Hatari Sana, Hivi msajiri wa chama atachukua hatua kuzuia ruzuku kama alivyofanya kwa chadema?🤣🤣🤣Aiseee
Hatari Sana, Hivi msajiri wa chama atachukua hatua kuzuia ruzuku kama alivyofanya kwa chadema?🤣🤣🤣Aiseee
Kuna mtu kafukuzwa kule ccm kisa kuhoji uteuzi wa Samia kama mgombeaHivi yule msajili kazi yake ni kudili na chadema tu?
Tulia ww mjinga, juzi team Mbowe wamehama kila siku ilikuwa ni press wanajiliza kuhusu Lisu, ccm mkawa mnasema ndio demokrasia. Leo mnajiliza nini?Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.
JambaziKwa ufupi Kikwete ndio mvurugaji wa mambo
Kwa nia nzuri. Huyu jamaa anaripoti akiwa wapi?Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”
Muongo sio kweliMchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”
Shida yote hiyo ni nini kutaka kuwe na ushindani wa uchukuaji fomu au wajumbe sio watu wazuri?Sio kufirwa tu, nashauri afirimbwe vizuri kwanza kabla ya kumfuta........na sura yake ile kama anakwepa jiwe!!
Sio kweli hujui nguvu ya mkutano mkuu wewe waweza amua wenyewe nini kiwe niniKumekucha!
Ni kweli mchakato haukuwa halali.
Unaweza kupiga Hiki kidogo alichokizungumza kwenye clip hii?Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.
Haahaaa wewe umepotosha zaidi....mkutano mkuu unaweza kuteua mgombea ubunge wa Jimbo kupitia ccm?Muongo sio kweli
Mkutano mkuu ndio kikao cha juu kabisa cha chama waweza amua hata kuvunja kamati kuu au halmashauri kuu
Ndio wenye maamuzi ya mwisho kwenye kila jambo waweza hata amus kufuta katiba ya CCM iliyopo na kuleta mpya
Mkutano mkuu hawapo pale kama picha tu waweza puuza hata maamuzi ya kamati kuu au halmashauri kuu au chochote au kilichopitishwa na vikao vya chini au ambacho hakijapitishwa wao ndio hupitisha wagombea .
Katiba ni mali ya Mkutano mkuu sababu ndio uwezo wa kubadili au kuamua chochote
Mkutano mkuu hauwajibiki kwa kikao chochote cha chini
Walivyoamua Samia awe Mgombea pekee wako sahihi hawahitaji mapendekezo toka vikao vya chini kuamua
Mchakato wa kumpitisha Magufuli ulikuwa halali?Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”
tulidhani yuko masaki kumbe yuko mbaliPole Pole kawazidi kete maana nina hakika hayupo Tz na alishahamisha pesa zake zote kabla ya kujiuzuru
Ndie alienda bungeni kuzindua bunge la katiba, badala yake akazima mchakato wa katiba mpya.Kwa ufupi Kikwete ndio mvurugaji wa mambo
Hapa yupo sahihi kwa 100% sasa hiki hawataki kuambiwa waliokosea wanaona km wanakosewa adabu“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”