Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hoja ya Pole pole Ina mantiki Sana, wamefuata mchakato?
Povu hili linaweza kuosha nguo chafu nchi nzima na bado likabaki kuwasugua vichaa woteMuongo sio kweli
Mkutano mkuu ndio kikao cha juu kabisa cha chama waweza amua hata kuvunja kamati kuu au halmashauri kuu
Ndio wenye maamuzi ya mwisho kwenye kila jambo waweza hata amus kufuta katiba ya CCM iliyopo na kuleta mpya
Mkutano mkuu hawapo pale kama picha tu waweza puuza hata maamuzi ya kamati kuu au halmashauri kuu au chochote au kilichopitishwa na vikao vya chini au ambacho hakijapitishwa wao ndio hupitisha wagombea .
Katiba ni mali ya Mkutano mkuu sababu ndio uwezo wa kubadili au kuamua chochote
Mkutano mkuu hauwajibiki kwa kikao chochote cha chini
Walivyoamua Samia awe Mgombea pekee wako sahihi hawahitaji mapendekezo toka vikao vya chini kuamua
Umesema una ujauzito?Dah Mambo bado
Mwanangu pole sana nakuona jinsi gani unavyolia kwa uchungu baada ya kuambiwa ukweli kwamba kilichofanyika kinyume na utaratibu kilikua sio sahihiMuongo sio kweli
Mkutano mkuu ndio kikao cha juu kabisa cha chama waweza amua hata kuvunja kamati kuu au halmashauri kuu
Ndio wenye maamuzi ya mwisho kwenye kila jambo waweza hata amus kufuta katiba ya CCM iliyopo na kuleta mpya
Mkutano mkuu hawapo pale kama picha tu waweza puuza hata maamuzi ya kamati kuu au halmashauri kuu au chochote au kilichopitishwa na vikao vya chini au ambacho hakijapitishwa wao ndio hupitisha wagombea .
Katiba ni mali ya Mkutano mkuu sababu ndio uwezo wa kubadili au kuamua chochote
Mkutano mkuu hauwajibiki kwa kikao chochote cha chini
Walivyoamua Samia awe Mgombea pekee wako sahihi hawahitaji mapendekezo toka vikao vya chini kuamua
Mkuu kikwete ndiyo kaamua na siyo wana ccmMuongo sio kweli

Hahhaha Pro-Chadema bana wameishasahu habari za Lissu, sasa hivi wapo na Polepole
Kwani Mzee Malisa yule aliyefukuzwa SISIEMU si alisema hayo tangia mwanzoni? Mchakato wa Kumpitisha MBICHI na Watch_Hundred haukuwa sahihi....#KATAA_WAHUNIMchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”
Wakati Lowassa anatoka kina Polepole ndiyo walikuwa viongozi wenu.Alijiuzulu Lowasa😀
Yaan Nchimbi na Saa100 mchakato haukua sahihi yes na inajulikana hivyo kwamba ilikua sio sahihi si alisikika akisema Wachawi wote Wameshakufa au bado kuna Wachawi wanaishi?Mchakato wa Kumpitisha MBICHI na Watch_Hundred haukuwa sahihi....#KATAA_WAHUNI
NdioHivi yule msajili kazi yake ni kudili na chadema tu?
Kutapika nini? Mmeanza tenafatma karume leo atatapika balaa
Hapendi unafki wa pole poleKutapika nini? Mmeanza tena
Yuko sahihi, licha ya uwezo mdogo alionao lakini kumbe pia ndani ya chama amepatikana kihuni...kwa maslahi yao binafsi (JK na genge lake).Anasema Samia anatikiwa apumzishwe, 😂😂😂😂😂
Kaangalie video ya mkutano mkuu waliounga mkonoMkuu kikwete ndiyo kaamua na siyo wana ccm
kalambishwa asali sasa kaona tamu hataki kutoka utasikia hata 2030 anagombea tena mm niko paleeeeeeeeeUnaijua vieite wewe?
kabla hajaliangamiza taifa ataangamia yeye,!Kwa ufupi Kikwete ndio mvurugaji wa mambo
Mkutano mkuu ndio mamlaka ya mwisho sio lazima hawahitaji chochote kuletewa na vikao vya chini hata yeye ajiandae akisikia tu mkutano mkuu umeitishwa aweza timuliwa CCM bila mkutano mkuu kuletewa mapendekezo toka chini kuwa afukuzwe uanachamaMwanangu pole sana nakuona jinsi gani unavyolia kwa uchungu baada ya kuambiwa ukweli kwamba kilichofanyika kinyume na utaratibu kilikua sio sahihi
wewe idd amin mama nenda kapumzike before too late, huna uwezo wq kuongoza.Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.