Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!🤣🤣Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”
Soma zaidi
- Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?
- Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama
- Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM
- Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Shida ni mama au kikukwa kwa utaratibu wa kumpitisha mgombea bila kusindanishwa kinyume cha mila, desturi na taratibu za CCM? Mbona mama amekuwa VP na Polepole hakupinga maana ni matakwa ya katiba?Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.
Acha upumbavu ww..People change
SAULI aliua sana Wafuasi wa YESU, mpaka siku YESU alipomtokea, SAULI AKAITWA PAULO .
Nae atakuwa the same.. stupidKatika Nyakati hizi, hata Nape ikitokea Akasema Anapinga Udhalimu wa Serikali hii, tutamsamehe
Matackle mmojaNdo maana nasema huyu ni kichwa pumbu......
Una akili nyingi mpk zinamwagika....huwa nawashangaa Sana watu wanaokuwa wepesi kusahau madhila ya MTU just Kwa sababu anaunga mkono agenda yao for the time being....ukimsikia alokuwa anayaongea unaona kabisa ana hasira na kusogezwa mbali na jikoni....wala sio mambo sijui ya mchakato au utaratibu....buyu la uenezi lilikuwa tqmu kuliko ubalozi....sasa timing ya Leo Ni kujaribu Ku destabilize whatever kitakachoanza kufanyika kesho kwny hyo michakato yao chamani huko maana kila akilala akiamka anaona kabisa nazidi kwnda kupotezwa....hana uzalendo wwteAcha upumbavu ww..
Huyu ni opportunist tu..
Mpuuzi mmoja.
Ni Mpumbavu Kabisa..mpuuzi sana
Huyu .. huyu. Huyuu..Una akili nyingi mpk zinamwagika....huwa nawashangaa Sana watu wanaokuwa wepesi kusahau madhila ya MTU just Kwa sababu anaunga mkono agenda yao for the time being....ukimsikia alokuwa anayaongea unaona kabisa ana hasira na kusogezwa mbali na jikoni....wala sio mambo sijui ya mchakato au utaratibu....buyu la uenezi lilikuwa tqmu kuliko ubalozi....sasa timing ya Leo Ni kujaribu Ku destabilize whatever kitakachoanza kufanyika kesho kwny hyo michakato yao chamani huko maana kila akilala akiamka anaona kabisa nazidi kwnda kupotezwa....hana uzalendo wwte