GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Msajili wa vyama vya siasa aingilie kati
 
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!🤣🤣
 
Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.
Shida ni mama au kikukwa kwa utaratibu wa kumpitisha mgombea bila kusindanishwa kinyume cha mila, desturi na taratibu za CCM? Mbona mama amekuwa VP na Polepole hakupinga maana ni matakwa ya katiba?

Vv
 
Watanzania Amkeni...

Huyu alikua promised of a green pasture of which it disappeared after the death ...

CCM wote na huyu ni mashetani tu..
Don't get fooled.
 
Acha upumbavu ww..
Huyu ni opportunist tu..

Mpuuzi mmoja.
Una akili nyingi mpk zinamwagika....huwa nawashangaa Sana watu wanaokuwa wepesi kusahau madhila ya MTU just Kwa sababu anaunga mkono agenda yao for the time being....ukimsikia alokuwa anayaongea unaona kabisa ana hasira na kusogezwa mbali na jikoni....wala sio mambo sijui ya mchakato au utaratibu....buyu la uenezi lilikuwa tqmu kuliko ubalozi....sasa timing ya Leo Ni kujaribu Ku destabilize whatever kitakachoanza kufanyika kesho kwny hyo michakato yao chamani huko maana kila akilala akiamka anaona kabisa nazidi kwnda kupotezwa....hana uzalendo wwte
 
Huyu .. huyu. Huyuu..

Nimemuita Mara tatu.

Hakusema lolote Lissu alipomiminiwa Risasi.

Serikali imuondoe huyu HARAKA..

Bora Mange aishi kuliko HUYU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…