Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Ashaongea mara tatu
 
Polepole ni mpuuzi tu, anakua kama mwanamke. Anasubiri mambo yake yaende anavyotaka ili asibwabwaje, kama ni kwa maslahi ya taifa aongee bila kutishia tishia na kuongea kama konokono
Ukimsikia mtanzania anasema kama wewe eti anataka aambiwe mambo yanayohusu ''ustawi wa taifa'' utadhani ni jasiri na yuko tayari kuchukuwa hatua kali iwapo ataambiwa skandali za kiongozi, kumbe ni bure tu. Anataka asikilize kama hadithi. Wewe usiye mpuuzi jitose useme hayo mambo yenye maslahi....
 
unless kama yeye ni mtu wa kule hivyo anaweza kuwachenga kama Jasusi wa Uskochi,lakini kama ni mtu wa kawaida tuu anafikiwa popote!.
P
Labda kwa nchi za kiafrika lakini sio ulaya. Watadakwa na kushitakiwa huko huko katika ardhi za watu


Halafu huenda Polepole ana support ya nchi za ulaya ila bado ni siri.
 
Hizo hoja alizotoa ni nyepesi? Zingekuwa nyepesi kina kibibi wangezima mitandao kila anapozungumza?
 
Zama na nyakati zimebadilika kwa Kasi sana. Usifananishe zama za akina Dr. Salmin na Balozi Ali Karume na nyakati za Sasa.

Polepole ameamua kujilipua. Hadi amechukua maamuzi hayo anajua madhara yake.

Kwa taarifa tulizo nazo hapa mjini jamaa amerekodi clip za kutosha na ameweka mambo yote hadharani. Hata ya chumbani yamewekwa wazi.

Wakijaribu kufanya upumbavu kama wanaofanya na waliofanya kwa wengine itakula kwao.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kikundi cha wahuni na serikali. Huwezi kukiitwa kikundi cha wahuni kilichopo sasa hivi ambacho kinaua hovyo vijana wanaokosoa eti ni serikali.
 
Wanajua kabisa kuwa Polepole ni tishio ndiyo maana wanazima mitandao. Hwa wanaopiga filimbi huku mitandaoni ni wa kupuuzwa.
 
I have wondered at times what the Ten Commandments would have looked like if Moses had run them through the Tz Congress....🤣🤣😶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…