Kabisa
1.ujima - watu wanazalisha pamoja na kugawana sawasawa, wengine wachapa kazi wana mashamba pembeni
2. Ukabaila - Mabwanyenye wenye mashamba pembeni wanayakuza na kuajiri vibarua na kuwanyonya na kutajorika
3. Ubepari = mabwanyenye wanaanzisha viwanda vidogo na kuungana kufanya viwanda vikubwa , wanamiliki bizness na kuwanyonya wafanyakazi.
4. Ujamaa = wafanyakazi wa viwandani wanachoka kunyonywa wanafanya mapinduzi na kuvunja ubepari na kurudisha ukwasi wa mabepari mikononi mwao na serikali
5. Communism = Serikali inasimamia ukwasi ulioporwa kwa matajiri na kugawa kwa raia kupitia elimu bure, madawa bure, nyumba bure
Hii ni theory ya Karl Marx kwa wale wanaosoma bongo bila kuambulia kitu. Nae alikuwa mtu maskini aliechukia unyonyaji wa matajiri!
Haya huo ujamaa wa yule Mzee kautoa kitabu gani, huwezi kuanzisha ujamaa bila nchi kufikia hatua ya viwanda na bizness kubwa, ubepari na kupora utajiri wa mabepari , hao mabepari wa bongo walikuwa kina nani wakati akitangaza ujamaa? Ni utajiri gani tuliogawana?
Aanze na huyo kwanza! Nonsense