Polepole: Mungu akituvusha, turekebishe viongozi wastaafu washtakiwe

🤣🤣🤣 kisa alienda urusi akaona hio na akaja tz kambona alimshauri lkn haktka kusikia
 
Yanakera sana yanauziana rasilimali za taifa kama karanga
Mgodi wa makaa ya mawe
Mgodi wa almasi
Bandari
Hadi hifadhi za ngorongoro aisee
Umesahau nyumba za serikali hadi kugawiwa mahawara. Umesahau 1.5 Trillion. Umesahau chatto international airport. Umesahau kina mnyetti.

Wabongo bana
 
🤣🤣🤣 kisa alienda urusi akaona hio na akaja tz kambona alimshauri lkn haktka kusikia
Miaka zaidi ya 40. Unamlaumu Nyerere kwa umaskini wako.

Miaka 40 ni mingi sana kusahihisha makosa.
 
Hawawezi kukubali wako radhi waue ila sio kuwakabidhi wapinzani nchi
Kizazi cha wajinga kina kinjenkitile ngwale batu kipo ndo maana unaona uchumi uko down
 
Humphrey Polepole amesema "Mungu akituvusha, turekebishe sheria ya viongozi wastaafu washtakiwe iondoke, hawa watu waanze kujibu tuhuma na matumizi mabaya ya madaraka wakati wako madarani"

Kama Hamphrey Polepole anapitia humu, wao si ni chama cha kijamaa, basi wawe kama cha kaka zao wachina, hakuna kucheka na kiongozi fisadi, ikithibitishwa na mahakama pasipo shaka yoyote,
Pale kwa mkapa apigwe risasi fisadi yoyote ili iwe salamu kwa kiongozi yeyote mwenye kupewa dhamana,
Itakuwa salamu hata kwa ma traffic
 
Kwa uweza wa Mungu hilo litatimia ila je kwa hawa majaji na mahakimu tutatoboa kweli na kumweka jela Saa100 na Wahuni wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…