Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #101
Hivi sasa wamachinga waliohamishwa wamekuja na madai ya miundombinu, Wanadai wajengewe vyoo! Hata hivyo hawaelezi huko barabarani nani aliwajengea vyoo na vilikuwa wapi kwenye hizo barabara! Ni wazi madai hayo yanatokana na kuujua udhaifu wa viongozi wetu kwenye masuala ya wamachinga.