Polepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini.
Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono hamkumwelewa. Akarudi tena kuwa kuna kura halali na haramu ila haramu ndo zinaleta ushindi, ukiupata ushindi mnaenda kutubu maisha yanaendelea bado hamukumwelewa.
Sasa leo Polepole kakisema kiini (source) cha Goli la mkono na kura haramu zinapozalishiwa.
Lile DUDE la mfumo wa CCM lililounganishwa ma mfumo wa NIDA na wa Tume ambalo Dude hilo huwa wanalitumia Tume na CCM kuchakachulia kura limewekwa wazi. Hapo kuna utatu mtakatifu yaani Tume, CCM na NIDA. Ndo wanaochakachua. Wanaujua ukweli na mbinu inayotumika.
Taifa linatakiwa kuwapongeza Nape na Polepole kwa kukataa kufa na siri inayoliangamiza Taifa. Hawa ni mashujaa wa Taifa, tuwaunge mkono.
Kura ya mwananchi haina thamani tena. Ni kama katatasi la kuchambia.
Watanganyika sasa nawahoji.
Mnataka mpaka ashuke malaika Gabriel ndo muelewe na kuchukua hatua????
Ya leo imewapiga utosini. Lazima watatoka nje. Jeshi la mtu mmoja lakini makombora yake ni hatari. Tumuunge mkono Polepole kaonyesha uzalendoKwa kweli tunawapongeza sana Nape na PolePole. Kufanya kosa siyo kosa, kosa ni kuendelea kufanya.
Kwa kweli ni lazima uwe kichaa au mwendawazimu, kwenda kushiriki huu uchafu wa CCM, wanaouita uchaguzi. Kwa sasa aduimkuu wa ustawi wa Tanzania, ni CCM.
Hakuna mwanafamilia wala ndugu yangu wa karibu anayeweza kwenda kushiriki huo ushetani.
Tatizo vyomboPolepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini.
Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono hamkumwelewa. Akarudi tena kuwa kuna kura halali na haramu ila haramu ndo zinaleta ushindi, ukiupata ushindi mnaenda kutubu maisha yanaendelea bado hamukumwelewa.
Sasa leo Polepole kakisema kiini (source) cha Goli la mkono na kura haramu zinapozalishiwa.
Lile DUDE la mfumo wa CCM lililounganishwa ma mfumo wa NIDA na wa Tume ambalo Dude hilo huwa wanalitumia Tume na CCM kuchakachulia kura limewekwa wazi. Hapo kuna utatu mtakatifu yaani Tume, CCM na NIDA. Ndo wanaochakachua. Wanaujua ukweli na mbinu inayotumika.
Taifa linatakiwa kuwapongeza Nape na Polepole kwa kukataa kufa na siri inayoliangamiza Taifa. Hawa ni mashujaa wa Taifa, tuwaunge mkono.
Kura ya mwananchi haina thamani tena. Ni kama katatasi la kuchambia.
Watanganyika sasa nawahoji.
Mnataka mpaka ashuke malaika Gabriel ndo muelewe na kuchukua hatua????
Hapa viongozi wa Dini, taasisi za kiraia na kimataifa, Wanasheria waungane na wananchi kutibu hiki kidonda. Tuombe bunge la kimataifa itoe mwelekeo kwa raia liamshwe chapu.Mamho ni mengi muda ni mchache tatizo watanganyika umelala usingizi mzito hili nalo litapita
Tuwe na katiba mpya kwanza ndo tuingie kwenye uchaguzi. Bila katiba mpya hili DUDE alilolisema Polepole haliwezi kuondolewa. Syndicate ya CCM, tume ya uchaguzi na NidaHapa viongozi wa Dini, taasisi za kiraia na kimataifa, Wanasheria waungane na wananchi kutibu hiki kidonda. Tuombe bunge la kimataifa itoe mwelekeo kwa raia liamshwe chapu.
MUDA WA RAIS UMEISHA AKAE PEMBENI KWANZA TUSAFISHE MATAKATAKA YOTE NA KUFLASHI VIRUSI VYOTE VYA CCM ILI TUINGIE KWENYE UCHAGUZI wa huru na hako.
Nape njoo utubu.
Well said. Polepole kashusha kombora. Hata Bi kilemba lazima atakuwa ameziona siku zake leo hata kama.zilishasimama.Philosophical thoughts by Bishop Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani?
Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele. Tutafakari:
1. Kuna watu usipowasikiliza, ni hasara. Ukiwasikiliza ni hasara pia. Humphrey Polepole ni mmoja wao. Usipomsikiliza unakosa mengi. Ukimsikiliza, anakushawishi kutenguka katika basdhi ya misimamo yako. Chagua kwa hekima.
2. Nani ni bora? Shetani aletaye habari njema au malaika aletaye habari mbaya?
Tuangalie kwa makini vipa umbele vyetu:
-Mungu/Taifa/Chama
Vs
-Chama/Taifa/Mungu
Chagua kwa hekima.
3. Twaweza kumpuuza Humphrey Polepole. Je tutapuuza madhara ya kumpuuza? Chagua kwa busara kati ya kupuuza huku usiweze kupuuza madhara ya upuuzi wako.
Kama anasema uwongo anamdanganya nani? Mungu? Wananchi? Yeye mwenyewe?
4. Kama ni kweli tufanyeje? Kama ni uwongo tufanyeje? Kwa nini aliyoyasema yanafanana na imani na uzoefu wetu? Kwa nini wanaosema aliyoyasema ni uwongo hata wao wanajiona ni waongo?
5. Viapo vyetu viko njiapanda: kukiuka kiapo kwa kusema kweli au kutunza kiapo kwa kuficha ukweli? Tunapoapa twamwapia mwanadamu au Mungu? Tukishupaza shingo (Impunity), twamfanyia Polepole, Katiba, Katiba, wananchi?
6. Hatujui tumefikaje hapa. Tuna uwezo wa kujua tutokeje. Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reform?
Tupige kura kuamua kama tuchague au tusichague?
Unyenyekevu si udhaifu
TURUDI MEZANI
UKWELI ULIOCHELEWA NI BORA KULIKO UWONGO UNAOFARIJI.
HAKUNA TOBA ILIYOCHELEWA
MaCCM ni majitu ya kishetani sana. Inasikitisha kuwa haya maibilisi bado yapo madrakani yanaendelea kuichafua nchi yetu ya Tanganyika. Mungu shuka haraka uje kuyaangamiza haya mashetani ya CCM.Polepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini.
Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono hamkumwelewa. Akarudi tena kuwa kuna kura halali na haramu ila haramu ndo zinaleta ushindi, ukiupata ushindi mnaenda kutubu maisha yanaendelea bado hamukumwelewa.
Sasa leo Polepole kakisema kiini (source) cha Goli la mkono na kura haramu zinapozalishiwa.
Lile DUDE la mfumo wa CCM lililounganishwa ma mfumo wa NIDA na wa Tume ambalo Dude hilo huwa wanalitumia Tume na CCM kuchakachulia kura limewekwa wazi. Hapo kuna utatu mtakatifu yaani Tume, CCM na NIDA. Ndo wanaochakachua. Wanaujua ukweli na mbinu inayotumika.
Taifa linatakiwa kuwapongeza Nape na Polepole kwa kukataa kufa na siri inayoliangamiza Taifa. Hawa ni mashujaa wa Taifa, tuwaunge mkono.
Kura ya mwananchi haina thamani tena. Ni kama katatasi la kuchambia.
Watanganyika sasa nawahoji.
Mnataka mpaka ashuke malaika Gabriel ndo muelewe na kuchukua hatua????
Bado siku 3 tu ateme cheche. Alitoa siku 10 za kufunguliwa kanisa.....bado siku 3.Kuwa na subira, taratibu tutafika huko. Namba 9 wetu Gwajiboy anapiga jalamba ili aingie uwanjani. Stay tuned.
Polepole anapiga dozi kidogo kidogo, ili mgonjwa apone, lakini dozi ya jana ilikuwa kali sana. Mgonjwa mpaka sasa bado ana wenge la dozi.Polepole anaachia moja moja ,najua atakapokuja tena atakuja na kubwa kuliko alivyokuja nayo , wenyewe watatafutana ,soon kelele ya October tunatick zitaanza kupungua.
Masikini Mama wa watu atajiondokea zake kwa haibu eeeh! Mungu Baba.
Shetani ana nafuu zaidi ya CCM na tume yaoMaCCM ni majitu ya kishetani sana. Inasikitisha kuwa haya maibilisi bado yapo madrakani yanaendelea kuichafua nchi yetu ya Tanganyika. Mungu shuka haraka uje kuyaangamiza haya mashetani ya CCM.