Hata kama dhamira yake sio nzuri lakini ndio moja kwa moja anasaidia kutatua changamoto za watuUnadhani alikuwa anafanya hivo kwa dhamira njema au kwa nia ya kutumia madaraka yake kuwagribu wananchi ambao wana matatizo yafuatayo;
1. Ubinafsi na unafiki
2. Ujinga
3. Umaskini wa kifikra.