Tuwe wa kweli Makonda Arusha anakubalika bila hata kubwa na huo mfumo na nikutokana na utendaji wake alioufanyaMakonda kuwa mbunge wa Arusha, yani Wameru na Wamasai Arusha wampigie kura Makonda. Kumbe alitegemea kura za mfumo!
🤣🤣🤣🤣🤣Ingawa sio ya kucheka 😢Kura ya mwananchi haina thamani tena. Ni kama katatasi la kuchambia.
Kwakwel kila mmoja hebu ajaribu kuongea na familia yake na ndugu jamaa na marafiki watu wajue CCM inavyotufanyia itasaidia kuiangusha ccm ikose supportNi kupoteza muda kwenda kupanga foleni ili hali kura yako haithaminiwi
siwaoni hapa kbs!!!Polepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini.
Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono hamkumwelewa. Akarudi tena kuwa kuna kura halali na haramu ila haramu ndo zinaleta ushindi, ukiupata ushindi mnaenda kutubu maisha yanaendelea bado hamukumwelewa.
Sasa leo Polepole kakisema kiini (source) cha Goli la mkono na kura haramu zinapozalishiwa.
Lile DUDE la mfumo wa CCM lililounganishwa ma mfumo wa NIDA na wa Tume ambalo Dude hilo huwa wanalitumia Tume na CCM kuchakachulia kura limewekwa wazi. Hapo kuna utatu mtakatifu yaani Tume, CCM na NIDA. Ndo wanaochakachua. Wanaujua ukweli na mbinu inayotumika.
Taifa linatakiwa kuwapongeza Nape na Polepole kwa kukataa kufa na siri inayoliangamiza Taifa. Hawa ni mashujaa wa Taifa, tuwaunge mkono.
Kura ya mwananchi haina thamani tena. Ni kama katatasi la kuchambia.
Watanganyika sasa nawahoji.
Mnataka mpaka ashuke malaika Gabriel ndo muelewe na kuchukua hatua????
Yes. Menopause itarudi ili mume wake wa Musoga aanze kumzalisha.Safari hii menopause lazima iondoke. Siku zake lazima zirudi na atazalishwa tena.
Ndio mkuu we si umeona hata vitu alivyobuni yalikuwa yanapata mapokezi makubwa na wanaarushaUna uhakika na hilo. ??
Huku ground mbona wanamwelewa sana Lissu na ana sympath ya wananchi. Chadema kwa ujumla inaeleweka vizuri sana kwa wananchiKwakwel kila mmoja hebu ajaribu kuongea na familia yake na ndugu jamaa na marafiki watu wajue CCM inavyotufanyia itasaidia kuiangusha ccm ikose support
Magoli ya.mkono yanatuletea watu kama Saa100, mchengerwa, Ridhiwani, Salma, taletale, baba levo, musukuma, Lusinde and the like. Eti hao nao wanatutawala sisi watanganyika.Mpaka sasa hayo magoli ya mkono yameumiza sana watanzania. Goli la mkono linakuletea mtu ambae hana hata chembe chembe za uongozi kwenye damu. Tumechoka, tumsikilize polepole kwa makini, wakati ni huu.
Mfano mzuri Range cruiser festival umeona ilivyopokelewa kwa uzito na ilitrend mno, Makonda aliandaa siku maalumu ya kusikiliza matatizo ya wananchi wa Arusha na mengine kutatiliwa hapo hapo kwenye hiyo mikutano yake. Mkuu Makonda kawawin sana wananchi tunaweza kumsema lakini kwa Arusha anakubalika sanaNapata kigugumizi kukubaliana na wewe
Unadhani alikuwa anafanya hivo kwa dhamira njema au kwa nia ya kutumia madaraka yake kuwagribu wananchi ambao wana matatizo yafuatayo;Mfano mzuri Range cruiser festival umeona ilivyopokelewa kwa uzito na ilitrend mno, Makonda aliandaa siku maalumu ya kusikiliza matatizo ya wananchi wa Arusha na mengine kutatiliwa hapo hapo kwenye hiyo mikutano yake. Mkuu Makonda kawawin sana wananchi tunaweza kumsema lakini kwa Arusha anakubalika sana
Usifurahie Mama kujiondokea,furahia CCM kuondoka,mifumo ovu haikuwekwa na Mama Bali na CCMPolepole anaachia moja moja ,najua atakapokuja tena atakuja na kubwa kuliko alivyokuja nayo , wenyewe watatafutana ,soon kelele ya October tunatick zitaanza kupungua.
Masikini Mama wa watu atajiondokea zake kwa haibu eeeh! Mungu Baba.