Polepole na Nape ni wajasiri, wamegoma kufa na siri moyoni, ndio maana wanasema ukweli

Bado siku 3 tu ateme cheche. Alitoa siku 10 za kufunguliwa kanisa.....bado siku 3.
Safari hii menopause lazima iondoke. Siku zake lazima zirudi na atazalishwa tena.
 
Makonda kuwa mbunge wa Arusha, yani Wameru na Wamasai Arusha wampigie kura Makonda. Kumbe alitegemea kura za mfumo!
Tuwe wa kweli Makonda Arusha anakubalika bila hata kubwa na huo mfumo na nikutokana na utendaji wake alioufanya
 
Ni kupoteza muda kwenda kupanga foleni ili hali kura yako haithaminiwi
Kwakwel kila mmoja hebu ajaribu kuongea na familia yake na ndugu jamaa na marafiki watu wajue CCM inavyotufanyia itasaidia kuiangusha ccm ikose support
 
Walamba nyayo za viongoz
siwaoni hapa kbs!!!
 
Mpaka sasa hayo magoli ya mkono yameumiza sana watanzania. Goli la mkono linakuletea mtu ambae hana hata chembe chembe za uongozi kwenye damu. Tumechoka, tumsikilize polepole kwa makini, wakati ni huu.
 
Kwakwel kila mmoja hebu ajaribu kuongea na familia yake na ndugu jamaa na marafiki watu wajue CCM inavyotufanyia itasaidia kuiangusha ccm ikose support
Huku ground mbona wanamwelewa sana Lissu na ana sympath ya wananchi. Chadema kwa ujumla inaeleweka vizuri sana kwa wananchi

Ujio wa Polepole nao umeleta hamasa mitaani ya kuunga mkono mabadiriko.

Watu walikuwa hawampendi Polepole, sasa wananchi wamekuwa kama mwanamke anavyoanza kupenda penzi, huwa penzi lake lina glow kadiri unavyomsugua vizuri.

Polepole kwa jinsi anavyowasugua vizuri CCM, wananchi wameanza kumpenda. Tangu jana ameanza kutufikisha kileleni. Aendelee tu kusugua vizuri tutampenda na tutakuwa tunapiga kelele akitufikisha kileleni
 
Mpaka sasa hayo magoli ya mkono yameumiza sana watanzania. Goli la mkono linakuletea mtu ambae hana hata chembe chembe za uongozi kwenye damu. Tumechoka, tumsikilize polepole kwa makini, wakati ni huu.
Magoli ya.mkono yanatuletea watu kama Saa100, mchengerwa, Ridhiwani, Salma, taletale, baba levo, musukuma, Lusinde and the like. Eti hao nao wanatutawala sisi watanganyika.
 
Napata kigugumizi kukubaliana na wewe
Mfano mzuri Range cruiser festival umeona ilivyopokelewa kwa uzito na ilitrend mno, Makonda aliandaa siku maalumu ya kusikiliza matatizo ya wananchi wa Arusha na mengine kutatiliwa hapo hapo kwenye hiyo mikutano yake. Mkuu Makonda kawawin sana wananchi tunaweza kumsema lakini kwa Arusha anakubalika sana
 
Unadhani alikuwa anafanya hivo kwa dhamira njema au kwa nia ya kutumia madaraka yake kuwagribu wananchi ambao wana matatizo yafuatayo;
1. Ubinafsi na unafiki
2. Ujinga
3. Umaskini wa kifikra.
 
Ndo maana nasemaga mtu yeyote anayeenda kupiga kura huwa anapoteza tu mda wake
Bora utumie muda huo wa kupanga foleni ya kupiga kura kupanda miti. Baada ya miaka mitano utaona faida ya hiyo miti kama ni ya matunda.
 
Polepole anaachia moja moja ,najua atakapokuja tena atakuja na kubwa kuliko alivyokuja nayo , wenyewe watatafutana ,soon kelele ya October tunatick zitaanza kupungua.

Masikini Mama wa watu atajiondokea zake kwa haibu eeeh! Mungu Baba.
Usifurahie Mama kujiondokea,furahia CCM kuondoka,mifumo ovu haikuwekwa na Mama Bali na CCM
 
Wamegawa gas , wamegawa majiko banifu . Kigezo namba ya NiDO
 
Haya anayoyasema Polepole ni vichekesho vya mwaka,na ni ujinga kudhani polepole anaongea vitu vya maana.
Ni nani asiyejua kundi la mtandao la Kikwete,Rostam,Kinana,Lowassa & Sitta limeanza harakati zake toka mwaka 1992 wakati wa Nyerere.
Ni nani asiyejua kundi hilo ndio likamuwezesha Kikwete kumshinda Mkapa na Nyerere Mwaka 1995???.
Na walifanikiwa katika hilo,Kikwete akawa Rais.

Duniani kote viongozi hutengenezwa na watu,hakuna kiongozi anaibuka kama uyoga.ukitaka kubadilisha mfumo ingia mchezoni nawe ucheze.

Mambo ya kulalamika kila siku kwa vitu vinavyojulikana na upumbavu.
 
Wapiga kura wa vijijini wangapi katika 10 wanajua lolote kuhusu aliyosema Polepole.

Hapo ndipo CCM husema watatawala milele.

Hata hivyo si haba, kidogo kidogo watu wanao zinduliwa usingizini wanazidi kuongezeka.

Hatujui wangapi na nani watazidi kujitokeza na kueleza maovu yanayofanywa na hiki chama kinacho tamba kwamba ni dude kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…