Polepole na Nape ni wajasiri, wamegoma kufa na siri moyoni, ndio maana wanasema ukweli

Unadhani alikuwa anafanya hivo kwa dhamira njema au kwa nia ya kutumia madaraka yake kuwagribu wananchi ambao wana matatizo yafuatayo;
1. Ubinafsi na unafiki
2. Ujinga
3. Umaskini wa kifikra.
Hata kama dhamira yake sio nzuri lakini ndio moja kwa moja anasaidia kutatua changamoto za watu
 
Usifurahie Mama kujiondokea,furahia CCM kuondoka,mifumo ovu haikuwekwa na Mama Bali na CCM
Hata kujiteua bila kufuata utaratibu ni mfumo au yeye na kundi lake la kidharimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…