StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Sure!Kwa alipofikia hakuna tena conspiracy.
Damage yake imezidi ya Lisu
Sure!Kwa alipofikia hakuna tena conspiracy.
Damage yake imezidi ya Lisu
SureWenye mapenzi mema na Tanganyika tumuunge mkono kwa kumpa moyo na kumwombea.
Loud and clear - lugha kwa hisani ya mabeberuMpaka pale mtakapoacha kutegemea watu (tena watu wenyewe wanasiasa) mtaendelea kupigwa mpaka kingdom come; Mwanasiasa yupo kwa ajili yake kwahio wewe angalia what is right and wrong at any given time...
Anachoongelea hakuna ambaye akitambui na mengi yalifanyika pia akiwa kwenye uongozi (ingawa maiti zinazidiana kunuka) haimaanishi yeye hanuki ila tuunge mkono kinachosemwa kama kipo sawa na kupinga kisicho sawa no matter anayekisema ni nani; Bila hivyo itakuwa muendelezo wa Same Script with Difference Cast
EXACTLY, KAMA NI AGENT WAO, HAWEZI KUWA ANAJIFICHA FICHA.Hypocrisy haiwezi kuwa maana na yeye anaishi kwa kujifichaficha atakuwa anamaanisha
Kuna mdau kaandika kuwa kama sake, basi asingeliishi kwa kujificha! Naamini hivyo, sawa na Gwajima hawezi kuishi kama maisha haya anayoishi eti anajifanya....Mkuu Retired bado hujajifunza kutegemea na kuweka matumaini kwa mtu binafsi?
Harakati zinapaswa kufanywa na wengi sio wanasiasa peke yake.
Huyo jamaa anaweza akaja kutu surprise tukabaki midomo wazi.
Once a snake always a snake.
Umeeleweka Ndg. RetiredMY POINT IS, ANACHOKISEMA KWA LEO KIKO SAHIHI? KAMA NI SAHIHI...NITAKWENDA NAYE WITH CAUTION
Mwambie DPP amfungulie kesi ya UHAINI au UGAIDI mana ndivyo namna pekee mnavyoweza hakuna kingineSawa. Akiishapaza sauti mnasubiri na yeye aende ndani, mumsubirie mwingine sio? Nimekusoma!!👍👍👍👍
Time will tell.Mwambie DPP amfungulie kesi ya UHAINI au UGAIDI mana ndivyo namna pekee mnavyoweza hakuna kingine