Ndio maana anaongea utopolo ili kuzidi kukiangamiza [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1548][emoji1534]Huyu hapa
Huyo mpuuzi sijui alisoma shule gani hapa nchini, maana hatumii angalau point ya akili zakeTangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo...
Kile kizee kinasumbuliwa na kansa ya ubongoMwingine anasema Magufuli hajajenga uwanja wa ndege chato umejengwa na CCM, ukiwa ccm ubongo unaharibika.
Kayasema na hii inatufanya kufikiria mara mbili juu ya waleule wa jiweSiwezi kuamini kama kweli msomi kama huyo anaweza kuongea hayo. Nina mashaka yawezekana mnamlisha maneno
Ukiona kelele zinakuzidi tengenezeni na ninyi kwa serikali/chama chenu kwani mnafail wapi?Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo...
UNATESEKA SANAAAA AMEWASHIKA PABAYAAA PAMPA TO PAMPAA
CCM OYEEEEEEEEEEEEH......
Tunaambiwa serikali imejenga hospitali na zahanati kila kata, hizo ndizo wataanza nazo Chadema, au Chadema wakiingia madarakani itabidi wazinunue kwa vile zimejengwa na serikali ya CCM.Wewe ndio umemuelewa vibaya, huwezi kuwapa watu bima huku huna hospitali za kutosha ambazo watu wanaweza kwenda na kutimia bima zao.
Ulichoandika hapa juu, ndio mfano tosha jinsi Chadema inavyopenda kupotosha umma katika kila jambo.