Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
AkishindaHii ndio CCM ya Jiwe!
Humphrey Anaweza Kufukuzwa Asubuhi
Maana Anapotosha, Ilani Imetupwa Wanasema Yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AkishindaHii ndio CCM ya Jiwe!
ZWAZWA huyo Mkuu achana naye.
Una uwezo mdogo sana !Uelewa kumbe ni shida!
Viongozi wa CHADEMA na Lissu nwenyewe, wanadai ujenzi wa hospitali ni maendeleo ya vitu. Je, kama hospitali hazijengwi, hizo bima za afya wakipewa wananchi watatibiwa wapi?
Bora niwe na uwezo mdogo sana kuliko kuwa mpumbavu.Una uwezo mdogo sana !
Kapolepole hakafai.Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo.
"Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima ya Afya wakati huna Hospitali?." - Humphrey Polepole.
Hata kama ni propaganda fanya basi lkn ziwe na mantiki na zilete sense kwa wanaosikiliza, propaganda hizi za Polepole hata yule bibi kizee wa kijijini ambaye hakuuona mlango wa darasa hawezi kukubali ulaghai huu.
Tunafokewa nchi nzima😂😂😂😂Sijajua kwa nini unashangaa! Hata nchi mbona ni ya ccm hata sisi wametutawala wawezavyo, ukitaka ushahidi angalia tunavyofokewa na kugombezwa nchi nzima kama watoto, watu wakisimama mbele yake wanatetemeka tu,halafu tupo tu na hatuna la kufanya...haki zetu zote wamebinafsisha ikiwemo ya kuongozwa na viongozi tunaowataka sisi, tumeporwa mpaka sauti zetu, tumeporwa kila kitu, kifupi sisi ni watumwa nchini kwetu wenyewe.
Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo.
"Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima ya Afya wakati huna Hospitali?." - Humphrey Polepole.
Hata kama ni propaganda fanya basi lkn ziwe na mantiki na zilete sense kwa wanaosikiliza, propaganda hizi za Polepole hata yule bibi kizee wa kijijini ambaye hakuuona mlango wa darasa hawezi kukubali ulaghai huu.
Mgonjwa wa zika huyo apuuzwe tuHivi ni mzima kweli huyu jamaa jamani ?
Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo.
"Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima ya Afya wakati huna Hospitali?." - Humphrey Polepole.
Hata kama ni propaganda fanya basi lkn ziwe na mantiki na zilete sense kwa wanaosikiliza, propaganda hizi za Polepole hata yule bibi kizee wa kijijini ambaye hakuuona mlango wa darasa hawezi kukubali ulaghai huu.
Baada ya kupitia hoja za wanaokubaliana na wewe nimegundua mnajibu Vihoja kwa Hoja ya Polepole.Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo.
"Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima ya Afya wakati huna Hospitali?." - Humphrey Polepole.
Hata kama ni propaganda fanya basi lkn ziwe na mantiki na zilete sense kwa wanaosikiliza, propaganda hizi za Polepole hata yule bibi kizee wa kijijini ambaye hakuuona mlango wa darasa hawezi kukubali ulaghai huu.
CCM hii ni ya hovyo haijawahi kutokea.Hii ndio CCM ya Jiwe!
Mimi sio Ccyem ila sidhani kama hili tamko lilikua na maana yakuonyesha nani anamiliki hospitali na nani hana kwa mtazamo wangu labda alilenga kumaanisha je inawezekana vp kupata bima kila mtanzania ingali hospital ni chache labda ili kusupport mfumo wa ujenzi wa miundo mbinu wa Magu
Ina maana watu wasitibiwe hadi hospitali zijengwe kila kata? Kimsingi hoja ya bima ya afya kwa wote ni kumpa mgojwa uwezo wa kupata matibabu hospitali anayotaka.Baada ya kupitia hoja za wanaokubaliana na wewe nimegundua mnajibu Vihoja kwa Hoja ya Polepole.
Swali mnalopaswa kujiuliza kama mna hoja ni je, bima ya afya itatolewa kwa kila mwananchi pasipo kuimarisha kwanza huduma ya afya, kwa maana ya maendeleo ya vitu (kuwepo na zahanati, vituo vya afya na hospitali za kutosha ili kuweka vifaa tiba, madawa na watumishi wa afya)?
Kwa hiyo wagonjwa wasitibiwe hadi hospitali zijengwe.Umetoa Maelezo kwa ulichoamua kukielewa wewe kitu ambacho sio sahihi.
Ndg Polepole alichokimaanisha ni kuwa lazima tuanze kujenga na kuongeza Hospitali kutoka kwenye zile zilizopo na kuboresha miundombinu kwani kumpa mtu BIMA bila kuwepo kwa Huduma ni jambo la Ajabu.
Jibu lako hilo nalo ni Kihoja. Haingii akilini mwa mtu kuwa na kikaratasi hicho cha bima ya afya wakati hawezi kukitumia.Ina maana watu wasitibiwe hadi hospitali zijengwe kila kata? Hoja ya bima ya afya kwa wote ni kumpa mgojwa uwezo wa kupata matibabu hospitali anayotaka.