Uchaguzi 2020 Polepole ni wa kupuuzwa, eti CHADEMA haina hospitali, kwani Muhimbili ni ya CCM?

Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo.

"Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima ya Afya wakati huna Hospitali?." - Humphrey Polepole.

Hata kama ni propaganda fanya basi lkn ziwe na mantiki na zilete sense kwa wanaosikiliza, propaganda hizi za Polepole hata yule bibi kizee wa kijijini ambaye hakuuona mlango wa darasa hawezi kukubali ulaghai huu.
Ana maana kuwa iliyopo ni kwa ajili ya waunga juhudi,usemi wa kuwa maendeleo hayana ubaguzi ni kiini macho.Msipo unga juhudi hampati maendeleo ikiwa ni pamoja na hospitali.
 
Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo.

"Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima ya Afya wakati huna Hospitali?." - Humphrey Polepole.

Hata kama ni propaganda fanya basi lkn ziwe na mantiki na zilete sense kwa wanaosikiliza, propaganda hizi za Polepole hata yule bibi kizee wa kijijini ambaye hakuuona mlango wa darasa hawezi kukubali ulaghai huu.
Jamani huyu chakubanga namchukia sana ila haki yake ngoja nimpe. Hapa ukisoma between lines anamaanisha unatakiwa ujenge kwanza hospital then unaingia kwenye kutoa hizo bima. Hakumaanisha chadema wawe na hospital zao hamna. Ni kama vile anasema ccm iko busy kujenga kwanza hospitals country wide halafu bima itafata. Mimi sio mshabiki wake lkn na comments nyingi ziko kishabiki for or against
 
Yaani muendeleze mipango ya "walitufikisha hapa"? Mipango ya "watu waliofeli"?
Kuna mapungufu kadhaa ya Lissu niliyabainisha siku zilizopita. Nikasema Lissu ana uwezo mdogo ama hana kabisa kufanya "Situation Analysis ". Bahati mbaya sana, Lissu kasababisha na wafuasi wake waishiwe uwezo wa kufanya "Situation Analysis "
 
Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo.

"Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa Wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima ya Afya wakati huna Hospitali?." - Humphrey Polepole.

Hata kama ni propaganda fanya basi lkn ziwe na mantiki na zilete sense kwa wanaosikiliza, propaganda hizi za Polepole hata yule bibi kizee wa kijijini ambaye hakuuona mlango wa darasa hawezi kukubali ulaghai huu.
Hapana mzee umepindisha aliyosema; hata mimi nilimsikiliza. Alisema kuwa huwezi kutoa bima kwa watu wote kama huna hospitali kwa maana ya kuwa ni lazima serikali ijenge kwenza mahospitali, vituo vya afya na zahanati nchi nzima. Kama wewe uko karibu na Muhimbili, basi una bahati, lakini kuna watanzania wengi huko vijijini ambao pia wanataka huduma za afya na hawezi kufika Muhimbili; huwezi kuwapa bima ambayo hawana pa kuitumia
 
Unadhani hana akili kihivyo? Shida ya Polepole anataka kumuiga boss wake hadi anapitiliza.
Hiyo ni akili ya boss wake ndiye huwa anayefikiri hivyo, utopolo mtupu.
Ndio maana baada ya uchaguzi huu kuwa na kiongozi kama Lissu nchi itabadili mwelekeo maana state of mind ita change kwa kiasi kikubwa mno.

Ebu weka Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA tujadili Sera ya kubadili "state of mind" kama inatekelezeka.
 
“Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa Wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima ya Afya wakati huna Hospitali?." - Humphrey Polepole.

OP umeelewa hii kauli ya chakubanga?

Kwa kukusaidia, na wengine wasioelewa... inamaanisha umuhimu wa kujenga hospitali (ziwepo) kabla ya kutoa bima.

Cheers [emoji1635].
 
Hapana mzee umepindisha aliyosema; hata mimi nilimsikiliza. Alisema kuwa huwezi kutoa bima kwa watu wote kama huna hospitali kwa maana ya kuwa ni lazima serikali ijenge kwenza mahospitali, vituo vya afya na zahanati nchi nzima. Kama wewe uko karibu na Muhimbili, basi una bahati, lakini kuna watanzania wengi huko vijijini ambao pia wanataka huduma za afya na hawezi kufika Muhimbili; huwezi kuwapa bima ambayo hawana pa kuitumia

Definitely, nimeelewa hivi pia.
 
Kwani sasa wanatibiwa wapi kwamba ukiwapa leo bima watashindwa kwenda, kwanini CCM wasiwe wakweli kwamba hawakuwa na mpango wa kutoa bima kwa wote wasitafute visingizio.
 
“Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa Wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima ya Afya wakati huna Hospitali?." - Humphrey Polepole.

OP umeelewa hii kauli ya chakubanga?

Kwa kukusaidia, na wengine wasioelewa... inamaanisha umuhimu wa kujenga hospitali (ziwepo) kabla ya kutoa bima.

Cheers [emoji1635].
Hivi kabla ya barabara kujengwa kwa lami watu walikuwa hawasafiri?
 
Mie huwa nawashangaa sana watu wanaopoteza muda wao kumsikiliza huyu mtu!
Eti Chadema hawana Hospitali! ccm wanayo hosptali? akili za ajabu kweli hizi!
Bashiru anakutafuta sana ueleze zile 'fedha za deal' za kuwanunua wabunge na madiwani ulivyokuwa unazitafuna!
 
Kichwa cha polepole ni kifaa cha kubebea makamasi na si vinginevyo
Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo.

"Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa Wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima ya Afya wakati huna Hospitali?." - Humphrey Polepole.

Hata kama ni propaganda fanya basi lkn ziwe na mantiki na zilete sense kwa wanaosikiliza, propaganda hizi za Polepole hata yule bibi kizee wa kijijini ambaye hakuuona mlango wa darasa hawezi kukubali ulaghai huu.
 
Hospitali siyo lazima zote zijengwe na serikali tu hata watu binafsi wanajenga. Kukiwa na uhuru haki na maendeleo ya watu, hospitali, shule, barabara, hoteli, nyumba nzuri za watu zitajengwa! Tunataka system ya serikali inayoruhusu watu wajiamulie mambo Yao na serikali iwape backup! Na serikali
 
"Wauliza maswali wakishafikia mahali pa kutouliza maswali ni ni kukosa afya"

Tena Afya ya akili, na tena kuidharau hadhira inayokusikiliza kana kwamba ashawaona hamnazo.

Slowly anatoa wapi ujasili wa kuwakejeli watu wazima na akili zao.....!!?
 
Back
Top Bottom