Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ana maana kuwa iliyopo ni kwa ajili ya waunga juhudi,usemi wa kuwa maendeleo hayana ubaguzi ni kiini macho.Msipo unga juhudi hampati maendeleo ikiwa ni pamoja na hospitali.Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo.
"Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima ya Afya wakati huna Hospitali?." - Humphrey Polepole.
Hata kama ni propaganda fanya basi lkn ziwe na mantiki na zilete sense kwa wanaosikiliza, propaganda hizi za Polepole hata yule bibi kizee wa kijijini ambaye hakuuona mlango wa darasa hawezi kukubali ulaghai huu.