- Thread starter
- #61
Walio tayari na bima za afya hawatibiwi?Jibu lako hilo nalo ni Kihoja. Haingii akilini mwa mtu kuwa na kikaratasi hicho cha bima ya afya wakati hawezi kukitumia.
Mnadanganya MTz gani kwa kumwambia atapewa bima ya afya wakati atakapohitaji matibabu hakuna hospitali? Yaani mnaamini WaTz wana akili za kitoto?
Issue hapa ni gharama ya kuipata hiyo bima siyo kutibiwa.