Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu.
Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo amesema CCM B ndio itakuwa inaamua kila kitu huku CCM A wakibaki kama wanasesere.
Ametoa mfano wa nchi kama Angola na Congo ambazo zimekuwa na vikundi vya aina hiyo katika serikali na ameonya nguvu za aina hiyo zinawe kutokea hata hapa Tanzania.
Polepole anasisitiza tuwe macho na tusi-relax kwasababu jambo hili linaweza kutokea hapa nchini.
Kauli hii ya Polepole inanifanya nikumbuke kauli ya Lissu kuwa kuwa watu ndio wanafanya maamuzi na Mama anakuwa mtazamaji (maamuzi kawaachia watu wengine).
Kwahiyo, mpaka hapa, nasema tusubiri muda utakuja kuthibitisha au kufichua yaliyofichika.
Msikilize hapa chini kwenye hii clip ambapo anaongelea swala hili kwa kirefu: