Polepole ni wazi anaungana na Lissu juu ya uwezekano wa kuwepo watu wanaongooza Serikali kwa mlango wa nyuma

Katiba ifanyiwe marekebisho bhana, hili la rais kushindwa ku consolidate mamlaka ni jambo la hatari sana katika mstakabali wa nchi.......ilinishangaza sana rais kama rais afanye kazi ya kutembeza watalii......kufanyike marekebisho ya maksudi kwenye succession plan ya nafasi ya rais na muda wa kipindi cha mpito utazamwe kwa umakini ili kuepuka kutokea makundi ya nyuma ya pazia....
 
Rais hajui kipi Cha kufanya na kipi sio Cha kufanya
 
Huo ubunge hauna connection na chma. Hta akivuliwa uanachma ubunge anaendelea nao
Mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa haijalishi amechaguliwa au ameteuliwa.

Acha umbwiga Bavicha wenzako wanakucheka!
 
Magufuli was the best President kwa nchi yetu na kwa wakati husika

Kwa muda mfupi aliokaa madarakani amefanya mageuzi makubwa sana ktk nchi hii,,, we miss him
Na kule NSSF fao la kujitoa kafanya mageuzi ya kutukuka...
 
Kwani wao pia si walikuwa na kikundi chao sasa anawashwa washwa na nini?
 
Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu.

Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo amesema CCM B ndio itakuwa inaamua kila kitu huku CCM A wakibaki kama wanasesere.

Ametoa mfano wa nchi kama Angola na Congo ambazo zimekuwa na vikundi vya aina hiyo katika serikali na ameonya nguvu za aina hiyo zinawe kutokea hata hapa Tanzania.

Polepole anasisitiza tuwe macho na tusi-relax kwasababu jambo hili linaweza kutokea hapa nchini.

Kauli hii ya Polepole inanifanya nikumbuke kauli ya Lissu kuwa kuwa watu ndio wanafanya maamuzi na Mama anakuwa mtazamaji (maamuzi kawaachia watu wengine).

Kwahiyo, mpaka hapa, nasema tusubiri muda utakuja kuthibitisha au kufichua yaliyofichika
Anamanisha wenda serikali ya SSH Rais ipo mikononi KWa WATU waovu, Kama kweli ni hatari Sana,
 
Mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa haijalishi amechaguliwa au ameteuliwa.

Acha umbwiga manka Bavicha wenzako wanakucheka!
Nakuonaga una Akili kumbe ni mbwiga tu, nani nakwambia mbunge ni lazma awe mwanachma. Zile nafasi Kumi za rais anaeeza teua mtu yeyote kuwa mbunge bila kujali chma, itikadi au dini.so kwa zile nafasi Kumi sio lazma mtu anayeteuliwa awe mwanachma. Kawaelimishe na mambwiga wenzio
 
Maccm YANAPARURANA menyewe kwa menyewe!

Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu.

Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo amesema CCM B ndio itakuwa inaamua kila kitu huku CCM A wakibaki kama wanasesere.

Ametoa mfano wa nchi kama Angola na Congo ambazo zimekuwa na vikundi vya aina hiyo katika serikali na ameonya nguvu za aina hiyo zinawe kutokea hata hapa Tanzania.

Polepole anasisitiza tuwe macho na tusi-relax kwasababu jambo hili linaweza kutokea hapa nchini.

Kauli hii ya Polepole inanifanya nikumbuke kauli ya Lissu kuwa kuwa watu ndio wanafanya maamuzi na Mama anakuwa mtazamaji (maamuzi kawaachia watu wengine).

Kwahiyo, mpaka hapa, nasema tusubiri muda utakuja kuthibitisha au kufichua yaliyofichika
 
Mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa haijalishi amechaguliwa au ameteuliwa.

Acha umbwiga manka Bavicha wenzako wanakucheka!
Bwashe mbona Halima Mdee na wenzake 18 ni wabunge lkn si wanachama wa chama chochote cha siasa? Unakwama wapi?
 
Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu.

Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo amesema CCM B ndio itakuwa inaamua kila kitu huku CCM A wakibaki kama wanasesere.

Ametoa mfano wa nchi kama Angola na Congo ambazo zimekuwa na vikundi vya aina hiyo katika serikali na ameonya nguvu za aina hiyo zinawe kutokea hata hapa Tanzania.

Polepole anasisitiza tuwe macho na tusi-relax kwasababu jambo hili linaweza kutokea hapa nchini.

Kauli hii ya Polepole inanifanya nikumbuke kauli ya Lissu kuwa kuwa watu ndio wanafanya maamuzi na Mama anakuwa mtazamaji (maamuzi kawaachia watu wengine).

Kwahiyo, mpaka hapa, nasema tusubiri muda utakuja kuthibitisha au kufichua yaliyofichika
Nakumbuka wakati wa Jpm ni kama alikuwa sehemu ya watu wa mfano alioutoa, au kakosa hiyo fulsa ya kuongoza bila kuonekana. Labda tofauti iliyopo sasa ni kwamba Ssh ana changia na watu wengine kwenye MATAMKO, tofauti na ilivyokuwa enzi za Jpm hata ukiwa na wazo hukuruhusiwa kulitamka hata ikiwa wewe ndie ulie tafiti na kufikia hatma. Ilikupasa ulilete kwa Jpm ndio asimame aseme. Ndio ukaona ilikuwa ni serikali iliyoongoza kwa matamko ya ajabu na ya kifedhuri kwa sababu mengi ya matamko yake hakuwa na taaluma nayo. Mfano ujenzi wa sehemu ya kujifukiza pale Muhimbii

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Nakuonaga una Akili kumbe ni mbwiga tu, nani nakwambia mbunge ni lazma awe mwanachma. Zile nafasi Kumi za rais anaeeza teua mtu yeyote kuwa mbunge bila kujali chma, itikadi au dini.so kwa zile nafasi Kumi sio lazma mtu anayeteuliwa awe mwanachma. Kawaelimishe na mambwiga wenzio
Hahahaaaa....... hahahaaaa....... hahahaaaa.......!

Labda kama unatumia rasimu ya Warioba.
 
Huyu Pole pole anaweza kunyang'anywa kadi ili ipatikane nafasi ya kuteua mbunge mwenye sifa ya uwaziri!
Polepole Ni mwanaharakati Hana Hadi ya CCM ,Ni Mbunge wa viti maalumu.Mamkaka iliyomteua unaweza kumfuta ubunge wake.
 
Daah maisha yanaenda kasi sana leo Polepole wa kuamini anachosema lissu nakumbuka 2020 wakati wq kampeni alikuwa anamwita lissu ni msukule wa mbowe.
... Polepole is Jiwe incarnate, ... NA ATAIPATA!
KUTESA KWA ZAMU! ... ALAA!
 
Back
Top Bottom