Polepole ni wazi anaungana na Lissu juu ya uwezekano wa kuwepo watu wanaongooza Serikali kwa mlango wa nyuma

Mama katika hili ndipo ananitia mashaka uwezo wake, huyu ni mwana CCM, yeye ndiye kamteuwa halafu kutwa yuko kwenye mitandao kutoa mafumbo. Ok dogo analoweza kufanya kumchukulia hatua ndani ya CCM maana haijawahi kutokea au kama ilitokea mtu kwenda na msimamo wa mwenyekiti wa chama maana ndiye anabeba sera za chama kukosolewa hadharani wakati CCM sifa kubwa huwa wanajinadi mambo yao yanajadiliwa ndani ya vikao na ni kweli hilo limewafanya kuwa tofauti ila tunaona siku hizi wanakimbilia kwenye mitandao. CCM hawayaoni haya au ndio kuna A na B. Mimi nadhani kuna tatizo kubwa katika CCM na Mama kama kapwaya au watendaji wake katika CCM wamepwaya. Huko nyuma haya usingeweza kusikia ndani ya CCM utawekwa kikao kama hujaondoka na ugonjwa wa moyo.
 
Kala kashiba sasa kaamua kurud kijiwen ukisikia mchumia tumbo ndio uyo hana analosimamia ukufunguka bei yy hana neno
 
Kala kashiba sasa kaamua kurud kijiwen ukisikia mchumia tumbo ndio uyo hana analosimamia ukufunguka bei yy hana neno
Mpumbavu sana huyo jamaa yeye anachoangalia ni maslahi na familia yake,hongera kwa kuliona hilo.
 
Daah maisha yanaenda kasi sana leo Polepole wa kuamini anachosema Lissu nakumbuka 2020 wakati wa kampeni alikuwa anamwita Lissu ni msukule wa Mbowe.
 
If wishes were horses...
 
Humphrey Polepole bado ni chawa wa CHADEMA, Maguire alifanya kosa kubwa saana kumkaribisha chumbani kwake
 
Mkuu naomba link ya clip
 
Duuuh
 
Bado mnamfatilia polepole?...poleni.
 
KISIWAGA,

Magufuli was the best President kwa nchi yetu na kwa wakati husika

Kwa muda mfupi aliokaa madarakani amefanya mageuzi makubwa sana ktk nchi hii,,, we miss him
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…