Legacy ya ukatili aliyoiacha itakuachukua mda sana kuiondoaKawapandikiza roho ya kikatili sana viongozi wake karibu wote wa hawamu yake..
Rais hajui kipi Cha kufanya na kipi sio Cha kufanyaKatiba ifanyiwe marekebisho bhana, hili la rais kushindwa ku consolidate mamlaka ni jambo la hatari sana katika mstakabali wa nchi.......ilinishangaza sana rais kama rais afanye kazi ya kutembeza watalii......kufanyike marekebisho ya maksudi kwenye succession plan ya nafasi ya rais na muda wa kipindi cha mpito utazamwe kwa umakini ili kuepuka kutokea makundi ya nyuma ya pazia....
Mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa haijalishi amechaguliwa au ameteuliwa.Huo ubunge hauna connection na chma. Hta akivuliwa uanachma ubunge anaendelea nao
Na kule NSSF fao la kujitoa kafanya mageuzi ya kutukuka...Magufuli was the best President kwa nchi yetu na kwa wakati husika
Kwa muda mfupi aliokaa madarakani amefanya mageuzi makubwa sana ktk nchi hii,,, we miss him
Kombora la Lisu limetuwa pangoni panya wanaanza kubweka wenyewe...Mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa haijalishi amechaguliwa au ameteuliwa.
Acha umbwiga manka Bavicha wenzako wanakucheka!
Anamanisha wenda serikali ya SSH Rais ipo mikononi KWa WATU waovu, Kama kweli ni hatari Sana,Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu.
Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo amesema CCM B ndio itakuwa inaamua kila kitu huku CCM A wakibaki kama wanasesere.
Ametoa mfano wa nchi kama Angola na Congo ambazo zimekuwa na vikundi vya aina hiyo katika serikali na ameonya nguvu za aina hiyo zinawe kutokea hata hapa Tanzania.
Polepole anasisitiza tuwe macho na tusi-relax kwasababu jambo hili linaweza kutokea hapa nchini.
Kauli hii ya Polepole inanifanya nikumbuke kauli ya Lissu kuwa kuwa watu ndio wanafanya maamuzi na Mama anakuwa mtazamaji (maamuzi kawaachia watu wengine).
Kwahiyo, mpaka hapa, nasema tusubiri muda utakuja kuthibitisha au kufichua yaliyofichika
Nakuonaga una Akili kumbe ni mbwiga tu, nani nakwambia mbunge ni lazma awe mwanachma. Zile nafasi Kumi za rais anaeeza teua mtu yeyote kuwa mbunge bila kujali chma, itikadi au dini.so kwa zile nafasi Kumi sio lazma mtu anayeteuliwa awe mwanachma. Kawaelimishe na mambwiga wenzioMbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa haijalishi amechaguliwa au ameteuliwa.
Acha umbwiga manka Bavicha wenzako wanakucheka!
Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu.
Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo amesema CCM B ndio itakuwa inaamua kila kitu huku CCM A wakibaki kama wanasesere.
Ametoa mfano wa nchi kama Angola na Congo ambazo zimekuwa na vikundi vya aina hiyo katika serikali na ameonya nguvu za aina hiyo zinawe kutokea hata hapa Tanzania.
Polepole anasisitiza tuwe macho na tusi-relax kwasababu jambo hili linaweza kutokea hapa nchini.
Kauli hii ya Polepole inanifanya nikumbuke kauli ya Lissu kuwa kuwa watu ndio wanafanya maamuzi na Mama anakuwa mtazamaji (maamuzi kawaachia watu wengine).
Kwahiyo, mpaka hapa, nasema tusubiri muda utakuja kuthibitisha au kufichua yaliyofichika
Bwashe mbona Halima Mdee na wenzake 18 ni wabunge lkn si wanachama wa chama chochote cha siasa? Unakwama wapi?Mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa haijalishi amechaguliwa au ameteuliwa.
Acha umbwiga manka Bavicha wenzako wanakucheka!
Nakumbuka wakati wa Jpm ni kama alikuwa sehemu ya watu wa mfano alioutoa, au kakosa hiyo fulsa ya kuongoza bila kuonekana. Labda tofauti iliyopo sasa ni kwamba Ssh ana changia na watu wengine kwenye MATAMKO, tofauti na ilivyokuwa enzi za Jpm hata ukiwa na wazo hukuruhusiwa kulitamka hata ikiwa wewe ndie ulie tafiti na kufikia hatma. Ilikupasa ulilete kwa Jpm ndio asimame aseme. Ndio ukaona ilikuwa ni serikali iliyoongoza kwa matamko ya ajabu na ya kifedhuri kwa sababu mengi ya matamko yake hakuwa na taaluma nayo. Mfano ujenzi wa sehemu ya kujifukiza pale MuhimbiiKatika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu.
Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo amesema CCM B ndio itakuwa inaamua kila kitu huku CCM A wakibaki kama wanasesere.
Ametoa mfano wa nchi kama Angola na Congo ambazo zimekuwa na vikundi vya aina hiyo katika serikali na ameonya nguvu za aina hiyo zinawe kutokea hata hapa Tanzania.
Polepole anasisitiza tuwe macho na tusi-relax kwasababu jambo hili linaweza kutokea hapa nchini.
Kauli hii ya Polepole inanifanya nikumbuke kauli ya Lissu kuwa kuwa watu ndio wanafanya maamuzi na Mama anakuwa mtazamaji (maamuzi kawaachia watu wengine).
Kwahiyo, mpaka hapa, nasema tusubiri muda utakuja kuthibitisha au kufichua yaliyofichika
Hahahaaaa....... hahahaaaa....... hahahaaaa.......!Nakuonaga una Akili kumbe ni mbwiga tu, nani nakwambia mbunge ni lazma awe mwanachma. Zile nafasi Kumi za rais anaeeza teua mtu yeyote kuwa mbunge bila kujali chma, itikadi au dini.so kwa zile nafasi Kumi sio lazma mtu anayeteuliwa awe mwanachma. Kawaelimishe na mambwiga wenzio
Bwashee kasome katiba ya JMT!Bwashe mbona Halima Mdee na wenzake 18 ni wabunge lkn si wanachama wa chama chochote cha siasa? Unakwama wapi?
Polepole Ni mwanaharakati Hana Hadi ya CCM ,Ni Mbunge wa viti maalumu.Mamkaka iliyomteua unaweza kumfuta ubunge wake.Huyu Pole pole anaweza kunyang'anywa kadi ili ipatikane nafasi ya kuteua mbunge mwenye sifa ya uwaziri!
Oh kumbe!Huo ubunge hauna connection na chma. Hta akivuliwa uanachma ubunge anaendelea nao
Ife kabisa ili tupate fursa ya 'kujichagulia' viongozi wetu! ... na sio kuchaguliwa viongozi na mwenyekiti wa CCM kuanzia shina mpaka taifa!CCM imepasuka.
... Polepole is Jiwe incarnate, ... NA ATAIPATA!Daah maisha yanaenda kasi sana leo Polepole wa kuamini anachosema lissu nakumbuka 2020 wakati wq kampeni alikuwa anamwita lissu ni msukule wa mbowe.
Maccm YANAPARURANA menyewe kwa menyewe!
Salute Mkuu....Ife kabisa ili tupate fursa ya 'kujichagulia' viongozi wetu! ... na sio kuchaguliwa viongozi na mwenyekiti wa CCM kuanzia shina mpaka taifa!