Polepole ni wazi anaungana na Lissu juu ya uwezekano wa kuwepo watu wanaongooza Serikali kwa mlango wa nyuma

Kama Polepole upo kundi A jitahidi uwe msemaji wa hilo kundi
 
Mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa haijalishi amechaguliwa au ameteuliwa.

Acha umbwiga manka Bavicha wenzako wanakucheka!

wakina halima mdee wako bungeni kwa tiketi ya chama gani?
 
Hicho kikundi kitokee wapi? Wewe kwa akili yako Lisu na Polepole ni WA kuwaamini?

Lisu alichotarajia kimekwenda opp amesalia kutafuta kiki ilimradi asipotee..

Huyo mwingine anaugulia mauvu ya kutolewa kwenye vietel kabla hajafaidi sasa ndio wamekazana na uzushi ila wanapuuzwa..
 

CCM imeondokewa na watu wa uwezo wa Polepole, Bashiru na JPM lazima ombwe lionekani ukweli una tabia ya kujitetea. Na washukuru Mungu JPM akisaidiana na wawili hawa niliowataja waliwakongoroa CDM vilivyo.
 
Sukuma gang kwisha kabisa. Wao c walikula enzi zao. Leo zamu y wengine
 
Hawa wote magaidi tu. Acha watafunane hao malofa in Mkapa's voice
 
🤣🤣🤣ule ujinga wa Mimi sipendi siasa, mimi sina chama
 
Kwa mara ya kwanza kabisa Mh Polepole kasema ukweli. Serikali ya Rais Samia ni mwanasesere/msukule anayeongozwa na kikundi cha wahuni (MATAGA) alichokiacha mwendazake.
 
Mageuzi ya kuteka watu na kufadhili kundi la watu wasiojulikana?
was the best President kwa nchi yetu na kwa wakati husika

Kwa muda mfupi aliokaa madarakani amefanya mageuzi makubwa sana ktk nchi hii,,, we miss him
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…