Polepole ni wazi anaungana na Lissu juu ya uwezekano wa kuwepo watu wanaongooza Serikali kwa mlango wa nyuma

Rais mwenyewe tangu kateuliwa hajawahi kutoa maagizo, ni mtoa maombi tupu. Huelewi nini sasa hapo?
 
CCM imeondokewa na watu wa uwezo wa Polepole, Bashiru na JPM lazima ombwe lionekani ukweli una tabia ya kujitetea. Na washukuru Mungu JPM akisaidia na hawa niliowataja waliwakongoroa CDM vilivyo.
Nimesoma kama mara 3 lakini kama sijakuelewa umeandika nini lakini sio issue ndio makada walivyo maana hata huko bungeni kusoma tu shida.
 
Polepole akili zimeanza kurudi lini?
e ameanza
 
Huu ni upuuzi sana. Hata kama kikundi kipo na nchi inaenda sawa kina shida gani. Alizoea one man show . Aache ujinga.
 
Ni propaganda na wivu tu.

mama ndiye anaongoza nchi; hakuna hiko kikundi cha nyuma ya pazia mnachokisema.
 
Yote haya yanafanyika baada ya JPM kufariki dunia, ni kwa gharama kubwa sio ndogo ilibidi msiba mkubwa utokee. Lakini hayadumu yote ya binadamu.
 
Hamia Chadema uendelee na katiba mpya,zamani nilikuwa siipendi ktba mpya lkn baada awamu ya nne,tano na hii, hapana nahitaji katiba mpya.
Na nimeona madhara ya kuwa na chama kimoja chenye nguvu, vikuwa viwili raha sana.
 
Huu ni upuuzi sana. Hata kama kikundi kipo na nchi inaenda sawa kina shida gani. Alizoea one man show . Aache ujinga.

Siku kukitokea kakikundi kama kale kagine 'Mungu wa Mbinguni atuepushe ' na nchi ikaenda sawa uunge mkono ukisema ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…