kulikuwa na haja gani kuyasema hayo ya Magufuli?Ndio aina ya viongozi wenu mwendazake alisema traffic rushwa 5000 ruksa hiyo ni kidogo. Ulikuwa kwenye usukani hukusema lolote. Katiba mpya n tume huru ni muhimu ili Wtz wachague viongozi si bora kiongozi
Umeshindwa kabisa kuchambua hoja ya polepole, eti unahalalisha kosa kwa kosa lingine, wewe ni kilaza!