Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Afadhali umesema wwLissu katulia zake huko we upo bongo unahangaika nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali umesema wwLissu katulia zake huko we upo bongo unahangaika nae
Na nyie tuleteeni Dereva wake kwanza ndio mtuhumiwa namba mojaPolepole tuambie nani alimpiga Lisu risasi haya mengine ni mambo yenu ya kihayawani tangu zamani
Ndio siasa zetu hizo mkuu.Mbona chadema waliwahi kumshambulia Lowassa ni fisadi na pia wakasema wanaushahidi na ufisadi wake lakini hao hao wakampokea kwenye chama chao na wakamkabidhi kuwa mgombea wa Uraisi pamoja na unafiki Huu walionyesha lakini bado wengine wanawaamini wanapotoa hoja zao inakuaje kwa Mhe PolePole iwe nongwa?
Huyu chizi ni wa kuombeaView attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Angekufa kusingekuwa na uchunguzi?Na nyie tuleteeni Dereva wake kwanza ndio mtuhumiwa namba moja
Hajafa ssaAngekufa kusingekuwa na uchunguzi?
Tulia wewe dadaHajafa ssa
Acha kupanick dogo. Nilipinga ujio wa Lowassa maana nilijua Lowassa ni take away, na ukweli unajua saa hii Lowassa yuko wapi. Viongozi waliomleta bado wako maana wamechaguliwa na wengi kwa kura halali, hata kama sikubaliani na kiongozi yoyote dunia hii kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Mimi nina imani na taasisi na sio mtu. Kama ingekuwa naamini katika mtu basi ningeondoka wakati wa ujio wa Lowassa. Una lingine kwa msaada zaidi?
Daaah!! Ngoja nijaribu kufunguka zaidi labda umenielewa
Wewe umesapoti Taasisi na siyo mtu,sawa
Ila Taasisi hiyo imenajisiwa na viongozi wa juu kabisa kwa kwenda/kutenda kinyume na misingi ya taasisi
Hao viongozi walionajisi Taasisi mpaka leo bado wapo kama viongozi na kibaya zaidi hawajawahi hata siku moja kutoka hadharani na kuomba radhi kwa kitendo chao hiko
Sasa basi kwa watu ambao walikuwa kinyume na kitendo kilochofanywa na viongozi,inategemewa baada ya uchaguzi tu wangeshinikiza kwa nguvu zote kuanzia humu mitandaoni(wewe sijawahi kuona hata post yako moja humu ukifanya hivyo,zaidi ya daily kuwaimbia mapambio) hadi huko mitaani viongozi wote wa juu kuachia ngazi
Lau imeshindikana basi wao (wanachama/wafuasi mfano wako)
wangeamua kujitenga na hiyo taasisi ili kuonyesha msimamo wao wa kutokubaliana na viongozi wakuu
Umenielewa hapo?
Eh hatari!Tafuta post zangu ndio utajua mimi sio mwepesi hivyo kuhusu hao viongozi. Na kwa taarifa yako hata huko kanisani tunaenda mapadre wanabaka hadi watoto lakini hatuhami maana tunaamini katika dini na madhaifu ya padre. Je kila taasisi nitakayokwenda kiongozi akipotoka nitahama, badala ya kutaka mabadiliko nikiwa humo ndani? Mbona ww mkeo watu wamepiga sana na humuachi uone mwingine?
Tafuta post zangu ndio utajua mimi sio mwepesi hivyo kuhusu hao viongozi. Na kwa taarifa yako hata huko kanisani tunaenda mapadre wanabaka hadi watoto lakini hatuhami maana tunaamini katika dini na sio madhaifu ya padre. Je kila taasisi nitakayokwenda kiongozi akipotoka nitahama, badala ya kutaka mabadiliko nikiwa humo ndani? Mbona ww mkeo watu wamepiga sana na humuachi uone mwingine?
Ujumbe wake uko vilevile na kwa Tafsiri ya haraka haraka ata yeye anakula kwa urefu wa kamba yake,ivo kahalalisha na wengine kujipakulia minyama,Nadhani kila mmoja wetu ameiona awamu yake inavyokwenda na utendaji wake kwa iyo hakuna haja ya kuanza kupata kigugumizi huu ndio ule muda uliongojewa Sana na WanaCCM Chukua chako mapema.Inexperience,teething problems za huyu rais. Nadhani rais alitaka kusema kiongozi asifanye mambo ambayo yako nje ya mamlaka yake.(Outside his sphere of influence).
MaCCM kwa unafiki tu.. ni mabingwa DUNIANI wakifuatiwa na ZITTO nafasi ya pili…View attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Polepole haaminiki akija rais atakaemuunga mkono atatugeukaKwahiyo Polepole inatakiwa aendelee kuunga mkono mabaya?