Ndio aina ya viongozi wenu mwendazake alisema traffic rushwa 5000 ruksa hiyo ni kidogo. Ulikuwa kwenye usukani hukusema lolote. Katiba mpya n tume huru ni muhimu ili Wtz wachague viongozi si bora kiongozi
Mtu akiwa failure siyo kwamba hana nafasi katika jamii kutoa maoni yake. Wewe msomi inatakiwa upangue kwa hoja baada ya hoja. Amasivyo wewe ni msomi kwa cheti tu. Wengine wanaiba mitihani na kufika hadi vyuo vikuu.