Rais siku hizi ni mzazi? Wewe kweli kichwa chako ndo hakiko sawa! Kama Makamba alimsinitch Magufuli ndo akaona atengue uteuzi wake unashangaa nini? Hiyo ni kawaida!Eti mawaziri wajitokeze kulaan, hivi unaweza kulaani mzazi wako?? huyu polepole kichwa chake hakiko sawa.
Lukuvi,Kitila Mkumbo,Mwita Waitara na Paramagamba Kabudi naona kamba zilikuwa ndefu sana! Na ikizingatiawa ni wakaristo wakavywekwa! Akaingiza Hamadi Masauni,Asantu Kijaji,Riziwani kikwete n.kHawakujitokeza kupinga kwa kuwa ndiyo ukweli. Hawakutaka kuwa wanafiki. Wanatakiwa wale kwa urefu wa kamba zao kama ilivyo kwangu na kwako. Kinyume chake watakula na vya wengine. Wanaovimbiwa yawezekana kamba zao ni ndefu mno zipunguzwe au walipofungwa pana nyasi nyingi mno wapunguziwe muda wa malisho.
Endelea kudhani! Hicho kikao kwa nini kilirushwa na Runinga! Kutafuata kupendwa wakati uwezo huna! Jiandae kwa mgao wa umeme! Nunua Solar au taa za kichina! Maana siku kumi zaweza kuzidi hawaaminiki hawa!Inexperience,teething problems za huyu rais. Nadhani rais alitaka kusema kiongozi asifanye mambo ambayo yako nje ya mamlaka yake.(Outside his sphere of influence).
Akili ya mtu mweusi, no wonder wazungu wanatuona takakata.Polepole awe mpole kamba yake ilishakatika awaachie wengine nao wale
Deal na hoja achana na mtu!!!Tatizo la politicians wetu they always get their voice back wanapokua nje ya system why?Mr. Polepole kipindi chako wakati kamba yako haijakatika hukuyasema haya kwa UHURU;kupotea kwa Saanane,kupigwa risasi na kuuliwa kwa Akwilina,kuvunjwa kwa haki za binadamu,kubinywa kwa demokrasi nchini etc etc ;hukusimama na kunyosha kidole kuyasemea ika sasa upo nje ya system unaongea....huu ni unafiki
View attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Angekuwa kiongozi ni bwana Yule aliyeenda ndy amezungumza hayo maneno,hakuna Shaka kuwa yeye na mawaziri wa enzi zake wasingeongea chochote..wangekaa kimya km hao anaowashutumu wamekaa kimya sasa hivi
CCM ikibadilisha viongozi tu na wanafiki wanabadilika majina,ila unafiki uko palepale
Video ipo hapo. MsikilizeHaya maneno siyo ya polepole, wamemuwekea. Alivyofadhaika sasa hv hawezi hata kuongea. Wallah wamemuwekea haya!!!
Inexperience,teething problems za huyu rais. Nadhani rais alitaka kusema kiongozi asifanye mambo ambayo yako nje ya mamlaka yake.(Outside his sphere of influence).
Du, kumbee! Kajamaa bado kapo kumbe?!!! Ahsante!
Hakukemea hata ile kauli kwamba "acheni trafiki wachukue hela ya ku brush viatu."Tatizo la politicians wetu they always get their voice back wanapokua nje ya system why?
Mr. Polepole kipindi chako wakati kamba yako haijakatika hukuyasema haya kwa UHURU; kupotea kwa Saanane, kupigwa risasi na kuuliwa kwa Akwilina, kuvunjwa kwa haki za binadamu, kubinywa kwa demokrasi nchini etc etc ; hukusimama na kunyosha kidole kuyasemea ika sasa upo nje ya system unaongea....
Huu ni unafiki
Mpumbavu huyu. Angesema tu Mama ameonesha hali waliyokuwa nayo hata yeye. Yale Mavieti si urefu tu wa kamba aliyokuwa nayoView attachment 2100413