Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Makaa ya mawe au uranium?Moderators tulizeni mshono, hii habari ni habari kubwa na Nzito!!
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NANKUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Sawa Sasa Kuna kosa?Moderators tulizeni mshono, hii habari ni habari kubwa na Nzito!!
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NANKUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Kule Mkoa wa Ruvuma, wilaya ya Mbinga, mji mdogo wa Ruanda, Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa gas amenunuwa mgodi wa makaa ya mawe uliokuwa ukimilikiwa na Tancoal.Moderators tulizeni mshono, hii habari ni habari kubwa na Nzito!!
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NANKUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Ina maana haya madini ya uranium ndiyo yanapelekwa Iran kutengeneza mabomu ya kuimaliza Israel, yaani kama ndiyo hivyo tutegemee vifo zaidi maana EU na USA hawatakubaliModerators tulizeni mshono, hii habari ni habari kubwa na Nzito!!
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NANKUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Uranium haiwezi safirishwa na Malori mkuu nazani unazungumzia makaa ya maweModerators tulizeni mshono, hii habari ni habari kubwa na Nzito!!
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NANKUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Na matundu wanashambulia piaNchi inaviraka kila kona na ajabu vimeshanza kufumuka yamebaki matundu kila sehemu
Humo kwenye matundu wakubwa wanpenya hivyo yanazidi kutanuka 😂Na matundu wanashambulia pia