Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

moja ya shida ya politicians wa Tanzania ni kuishi kwa hear says, hili lilimuathiri TL kwenye makinikia, JPM pia lilimletea shida kwenye makinikia, Leo namuona HP anakwenda kulekule.
TL hata kwenye kifo cha JPM aliingia chaka pia tena mbele ya BBC na kuleta habari za uongo, binafsi nilimuoutsmart TL na kugundua he is not well informed.

ndani ya mitaa ya Kabul, Afghanistan.
 
Kwenye Coal (makaa ya mawe) RA kupitia kampuni yake ya TAIFA Hana shida yeyote maana amechukua hisa kutoka Tancoal kwenye kesi waliyoishinda mahakamani baada ya kuwa wanamdai Tancoal kutokana na huduma waliyompa kwa muda mrefu bila kulipa, Tancoal alikubali kussurender hisa zake kufidia deni.

Kuna wakati ni vyema tukatafuta taarifa sahihi.

ndani ya mitaa ya Kabul, Afghanistan.
 
Kule Mkoa wa Ruvuma, wilaya ya Mbinga, mji mdogo wa Ruanda, Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa gas amenunuwa mgodi wa makaa ya mawe uliokuwa ukimilikiwa na Tancoal.

Hapo hamna jinai, hamjui bado kuyabana haya majizi kwa fact.

Ikumbukwe Ccm hapo hapo Ruanda wanamiliki mgodi wa makaa ya mawe kupitia kampuni yao ya Jitegemee holdings co ltd, hawa ndio wakuwabana wamepataje mgodi huu na hesabu zao za kodi TRA ziko vipi?
Hakika kijani huwa zinazagaa sana kule mgodini
 
Nawaza...ningekuwa na uwezo ningemchukua;
1. Cyprian musiba,
2. hamphrey pole pole,
3. josphat gwajima,
4. January makamba,
5. luhaga Mpina,
6. John heche,
7. Boniface mwabukusi.

Hawa ningewapa chama kimojawapo waingie wasimamishe mgombea Urais alafu wapambane na ccm tukutane kwa box la kura ....wangefanikiwa kumpiga shetani na vibaraka wake wote asubuhi na mapema🤣. Ila ndio hivyo Sina uwezo tu basi
 
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .

Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori

HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI

Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.

Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Mimi ndiye sielewi au...?

Hivi Uranium ndiyo Coal (makaa ya mawe)?

Nakumbuka wakati akiwa Mbambabay - Ruvuma wakati wa mikutano ya NO REFORMS NO ELECTION, ndiko alikoongelea biashara ya makaa ya mawe (coal) na namna maelfu ya malori yanavyosafirisha hayo makaa ya mawe yakitimulia na kuwaachia wananchi wanaoishi jirani na migodi vumbi na umakini uliotopea huku mali yao ikisafirishwa nje kuwanufaisha watu wengine...

Alipotoa kauli hii, kesho yake akiwa Mbinga huko Songea (Ruvuma) akakamatwa...
 
Nawaza...ningekuwa na uwezo ningemchukua;
1. Cyprian musiba,
2. hamphrey pole pole,
3. josphat gwajima,
4. January makamba,
5. luhaga Mpina,
6. John heche,
7. Boniface mwabukusi.

Hawa ningewapa chama kimojawapo waingie wasimamishe mgombea Urais alafu wapambane na ccm tukutane kwa box la kura ....wangefanikiwa kumpiga shetani na vibaraka wake wote asubuhi na mapema🤣. Ila ndio hivyo Sina uwezo tu basi
Mchawi Tume ya Uchaguzi tu.
Kwa Tume "Huru" ya sasa mshindi lazima awe mmiliki wake tu, ndiyo maana wenye akili na wazalendo wanadai Reforms
 
Back
Top Bottom