Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .

Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori

HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI

Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.

Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Kwa hali hii Ndugai alikuwa sahihi! Nchi imeshauzwa kwa wajanja.
 
Nawaza...ningekuwa na uwezo ningemchukua;
1. Cyprian musiba,
2. hamphrey pole pole,
3. josphat gwajima,
4. January makamba,
5. luhaga Mpina,
6. John heche,
7. Boniface mwabukusi.

Hawa ningewapa chama kimojawapo waingie wasimamishe mgombea Urais alafu wapambane na ccm tukutane kwa box la kura ....wangefanikiwa kumpiga shetani na vibaraka wake wote asubuhi na mapema🤣. Ila ndio hivyo Sina uwezo tu basi
Kwa katiba ya Tanzania na tume ya uchanguzi hata Kikwete akiwa upinzani hapati
 
Kwa hali hii Ndugai alikuwa sahihi! Nchi imeshauzwa kwa wajanja.
Ndugai alikuwa ni mkia wa Magufuli, hata kama aliongea ukweli matendo yake bado yanamuhukumu leo.

Ndio maana hata Polepole ni ngumu kupata sapoti ya umma, yeye ni sehemu ya matatizo tuliyonayo leo, alikuwa high table wakati shetani anasimika mifumo ya hovyo yeye anaturingishia V8!
 
Rais anayeshirikiana na wahuni ni mhuni, hapaswi tena kupewa nafasi ya uongozi.
Wahuni.PNG
 
moja ya shida ya politicians wa Tanzania ni kuishi kwa hear says, hili lilimuathiri TL kwenye makinikia, JPM pia lilimletea shida kwenye makinikia, Leo namuona HP anakwenda kulekule.
TL hata kwenye kifo cha JPM aliingia chaka pia tena mbele ya BBC na kuleta habari za uongo, binafsi nilimuoutsmart TL na kugundua he is not well informed.

ndani ya mitaa ya Kabul, Afghanistan.
Katibu mkuu Mwenezi wa CCM Taifa mjumbe wa kamati kuu. Balozi usalama asijue ilo jambo kweli
 
Kule Mkoa wa Ruvuma, wilaya ya Mbinga, mji mdogo wa Ruanda, Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa gas amenunuwa mgodi wa makaa ya mawe uliokuwa ukimilikiwa na Tancoal.

Hapo hamna jinai, hamjui bado kuyabana haya majizi kwa fact.

Ikumbukwe Ccm hapo hapo Ruanda wanamiliki mgodi wa makaa ya mawe kupitia kampuni yao ya Jitegemee holdings co ltd, hawa ndio wakuwabana wamepataje mgodi huu na hesabu zao za kodi TRA ziko vipi?
Pale TRA Edward Sokoine Drive si unapajua? Nenda kwa Kamishna wa Large Taxes kahoji hayo.. Au mwoga kama nyumbu wengine mnaishia kuandika tu
 
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .

Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori

HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI

Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.

Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Free Lissu
 
Katibu mkuu Mwenezi wa CCM Taifa mjumbe wa kamati kuu. Balozi usalama asijue ilo jambo kweli

hahahahaaha kuna watu wako CCM kuna mengi hawayajui maana wana limitations, CCM unawaona ni celebrities tu aka toys, wapo original ambao wengine hata Lumumba hawapajui.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Back
Top Bottom